Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Mi sijaoa bado ila nipo mbioni kama nikapata shangazi mmoja hivi..Wewe umeoa au ndio kazi kuwaungisha watu na huku unahesabu mabati
πππππππ
Nitaoa mazima na nitatulia kwa kweli