Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Mi sijaoa bado ila nipo mbioni kama nikapata shangazi mmoja hivi..Wewe umeoa au ndio kazi kuwaungisha watu na huku unahesabu mabati
Mwambie Max akufanyie mpango.Namba yake unatoa wapi?
Mpaka hapo huyo mdada atakua ameshajijual
Wewe mzee wa mashangaz tenaππππππΎHapo kwenye utani wa hovyo mi ndo pana nikosesha wachumba humu..
ππππππ
Ndo unizoeshe sasa niachane na mashangazi ety..ππππππWewe mzee wa mashangaz tenaππππππΎ
ili uje kusema nakuonea wivuππππππΎππΎππΎNdo unizoeshe sasa niachane na mashangazi ety..ππππππ
Aaah lejendari!Fanya kwanza ajue una exist, anza kuwa serious na comments zake, like za hapa na pale, unamquote mara chache chache ile tu kirafiki, usivuke mipaka wala usilete utani wa hovyo kabla hajakuzoea, ukiporomoshewa mvua ya maneno mabaya sitakuwepo..!!
Mengine watakufunza wajuba wenzio, nisije maliza siri za kikeni nikatimuliwa kwenye chama..!!π
ππππππ Hamna kitu ka hicho na wewe.ili uje kusema nakuonea wivuππππππΎππΎππΎ
Baba bulubendi ulitongoza dume? π€£π€£π€£Utatongoza wanaume shauri yako niulize yaliyonikuta
ππ Mbon kam wanipeleka mtegoni weiyeeee yakheeeππππππ Hamna kitu ka hicho na wewe.
Fanya unielekeze
πππππUnaijua. Hyo au...?ππ Mbon kam wanipeleka mtegoni weiyeeee yakheee
sidanganyiki ng'ooo π kwenye huo mtego umenikosa,,ndege tunduni mieππΎππππππππUnaijua. Hyo au...?
Fanya ukuje nauli juu yangu
Pepo limenishika
Lini umekuwa legendary π€£Fanya kwanza ajue una exist, anza kuwa serious na comments zake, like za hapa na pale, unamquote mara chache chache ile tu kirafiki, usivuke mipaka wala usilete utani wa hovyo kabla hajakuzoea, ukiporomoshewa mvua ya maneno mabaya sitakuwepo..!!
Mengine watakufunza wajuba wenzio, nisije maliza siri za kikeni nikatimuliwa kwenye chama..!!π
Kiutani utani tu mwenetu tayari ushajipataπͺπππππUnaijua. Hyo au...?
Fanya ukuje nauli juu yangu
Pepo limenishika