Naombeni mnisaidie kuniombea wapendwa

Mungu ni mwema sana
 
Mwenyezi Mungu akulinde sana katika Jina la Yesu. Amina
 
Wakati mwingine ueleze ni changamoto gani unapitia, wakati wewe unaiona kubwa na kushindwa kosolve, kuna watu wanaweza kukusaidia.. jinsi ulivyowasilisha imesababisha na wengine tuwe na hofu!
Jitahidi ueleze hata kwa codes (ni mtazamo wangu)
 
pole sana mke wangu,damu ya yesu ikapate kukutakasa akili pamoja na moyo na moto wa roho mtakatifu ukapate kuunguza hila mbaya za muovu shetani katika jina la yesuuu!! Amen
 
Kuota ndoto ndiyo uogope je ukipatwa na Jambo la kuachwa na mwenza wako halafu hujui alikoenda mpaka miezi mitano na zaidi utasemaje
 
Pole sana...
Unatema husia kwa mafungu... Sikiliza nyimbo ya kamnda...
 
Mamy K nakupenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…