Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
- Thread starter
-
- #61
Hawa ndio hawakopesheki hata kidogoo na ndio weny very high risk kwenye CRBMkuu wewe si mwaminifu,sheria za kibenki zinasema ukikuta pesa imepungua au kuongozeka kwa account yako toa taarifa,nikuulize tu ungekuta mfano hakuna hata shilingi 50 elfu kwa account yako bila taarifa ungekaa kimya au ungeenda benki kuulizia?
Tena naona adhabu waliyokupa ni ndogo ulipaswa uwe sero.
Siku nyingine jifunze kuwa muaminifu na haya yote hayatakukukuta mkuu.
Point sanaa hakuna namnaa...!! Au Atumie hati kukopaaa kwinginee kama bado anayoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uza nyumba, lipa deni mkuu Kisha Anza upya kujenga.
Pole Sana.
Pole sana mkuu...! Kuishi bila mshahara ni ngumu sanaa ukizingatia siku hizi Hakuna Overtime wala nini kukavuuu balaaa mamaeeTake home ni 572,600
Kwahiyo ni miezi 9,
Tunatoa huu mmoja ambao tayari wameushika ndio hiyo inabaki miezi 8
Ajui huyuuuu....Kwa haraka haraka jamaa analamba 1.5 million we unasema aache hiyo kazi unajua kuna watu wanalamba 270,000/=
Ni wivu tuuPoint sanaa hakuna namnaa...!! Au Atumie hati kukopaaa kwinginee kama bado anayoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu jamaa anamkopo rasmi namkopo ambao alijikopa mwenyewe (batili) ambao sio rasmi nawala hakuujazia form.Hesabu za wapi mkuu hizo, maanake analamba kama laki tano na point, maana hapo analipa hiyo milion 4 na point aliyochukua siyo mkopo mzima.
Yaani Benki pamoja na Mabilioni yote hayo waliyowekeza hawamuamini huyu Ndugu kiasi cha kushikilia mshahara wake wote ndani ya kipindi cha miezi nane itakua watu binafsi? Avumilie tu hio miezi nane si nyingi kwa wagumu!Kopa kwa mtu hiyo mil. 4 nenda kabalance hiyo credit ili waachie mshahara. Utakuwa unamlipa huyo mtu taratibu. Unga unga hata watu wengi wengi.
Yeye anaweza kuwa Mgumu vipi watoto wake...[emoji1787][emoji1787]Wife je???? Mkuu acha tuYaani Benki pamoja na Mabilioni yote hayo waliyowekeza hawamuamini huyu Ndugu kiasi cha kushikilia mshahara wake wote ndani ya kipindi cha miezi nane itakua watu binafsi? Avumilie tu hio miezi nane si nyingi kwa wagumu!
Kuuza nyumba mimi siafiki sana ila kama ataiuza kwabei yafaida basi auze2 maana hamna namnaKumbe NMB wakinunua Deni its bettee eehe[emoji23] Maana du hawa Loan board watatuua
Hata we ungekuta excess ungesomba yote tuwe wakweli jaman
Mimi Nina same kesi,
Kama yako,
Kwanza pole Sana Mkuu,
Mimi walinizidishia 2m, nikazipiga zote,
Mpaka sasa hivi tunapelekana..
Wote wanaokuponda hawajui chochote,
Big up kwa kumaliza mjengo
Kama si yake kwenye akaunti yake ilifuatamo nini? Hata kama ni mimi ningepita nayo.Kama ni hivyo alipe tu,maana kama hakuwa na hela inayobaki hakutakiwa kutumia hela ambayo hajui imetoka wapi,ina maana si yake
Uisiuze nyumba Wala nini komaa nao ongea nao kiume..hao nmb wanaingilika tuNo one is perfect bank zenyewe zinaibia wateja pia
Tena huyu muungwana..mie ningeitoa within 48hrs..Kama si yake kwenye akaunti yake ilifuatamo nini? Hata kama ni mimi ningepita nayo.
Nasomba yote kivip wakat najua mshahara unaingilia humohumo? Itmeans wakigundua tu wanapiga pini mshahara?Hata we ingejuta excess ungesomba yote tuwe wakweli jaman