Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Safi kama una connection m -connect bro utakuwa umemsaidia sanaMkuu kwanini usiende kujishikiza security companies kama GARDAWORLD, INSITE, G4S na nyinginezo mshahara kwa mwezi 370,000 hadi 430,000 kwa normal guard
Bado hujasema broDooh!!. Maisha nyoko sana hayaa.
Nitasema tu au sio?Bado hujasema bro
Jamaa uongo wangu upo wapi? Nimefanya hizo kazi ambazo wewe unaziita mbwa na nimefanikiwa kupata mtaji wa biashara kupitia hizo kazi ambazo we unaziita kazi za mbwa leo hii nimekua msaada mkubwa sana kwa familia yanguWewe jamaa ni muongo sana, usiwapoteze watu maboya watu wapo serious na maisha ikiwezekana hata kuzamia Canada US France na kwingine Ila simshauri mtu awe Mbwa kamwe
Kazi hizo unafanya mpaka sasa? Km hufanyi kwanini hufanyi na unamwambia mwenzako akafanye kwanini usimwambie unachofanya sasa hivi km kina uwezo wa kumvusha?Jamaa uongo wangu upo wapi? Nimefanya hizo kazi ambazo wewe unaziita mbwa na nimefanikiwa kupata mtaji wa biashara kupitia hizo kazi ambazo we unaziita kazi za mbwa leo hii nimekua msaada mkubwa sana kwa familia yangu
Nimefungua geti pale serena hoteli miaka miwili kupitia hiyo kazi ya mbwa nimejifunza vitu vingi sana kama ningeendelea kukaa magetoni nisingevijua. Acha zarau jamaa kama wewe unampoteza mwenzako maboya kwa maneno ya shombo
Hicho ndicho ulitakiwa kuuliza sasa, hawezi kufanya ninachofanya mimi kwa sasa sababu nina mtaji wa zaidi ya 4m hivyo basi laazima ajitoe kwenye kazi yoyote ili apate mtaji wa kufanya biashara ndo maana nikamshauri aende security companies changamoto za security companies isiwekikwazo kwani changamoto ni sehemu ya maisha ya binadamu zipo kila mahaliKazi hizo unafanya mpaka sasa? Km hufanyi kwanini hufanyi na unamwambia mwenzako akafanye kwanini usimwambie unachofanya sasa hivi km kina uwezo wa kumvusha?
Mwambie unachofanya sasa hivi ni nini mboni unamficha unamsukumia ulipotoka kungekua kuna neema ungetoka wewe ukaenda kufanya biashara zingine?Hicho ndicho ulitakiwa kuuliza sasa, hawezi kufanya ninachofanya mimi kwa sasa sababu nina mtaji wa zaidi ya 4m hivyo basi laazima ajitoe kwenye kazi yoyote ili apate mtaji wa kufanya biashara ndo maana nikamshauri aende security companies changamoto za security companies isiwekikwazo kwani changamoto ni sehemu ya maisha ya binadamu zipo kila mahali
Utakua unastress za maisha we jamaa naona hatuelewani kwaheriMwambie unachofanya sasa hivi ni nini mboni unamficha unamsukumia ulipotoka kungekua kuna neema ungetoka wewe ukaenda kufanya biashara zingine?
Unafanya biashara gan sasa hv chief labda unaweza fungua macho wengineHicho ndicho ulitakiwa kuuliza sasa, hawezi kufanya ninachofanya mimi kwa sasa sababu nina mtaji wa zaidi ya 4m hivyo basi laazima ajitoe kwenye kazi yoyote ili apate mtaji wa kufanya biashara ndo maana nikamshauri aende security companies changamoto za security companies isiwekikwazo kwani changamoto ni sehemu ya maisha ya binadamu zipo kila mahali
Kweli kabisa mkuu, uyu jamaa akiendelea kusikiliza Mawazo ya hapa bila kuyapima ataangukia pia. Mimi pia nimepitia hizo kampuni, ukikaza unapata mtaji.Jamaa uongo wangu upo wapi? Nimefanya hizo kazi ambazo wewe unaziita mbwa na nimefanikiwa kupata mtaji wa biashara kupitia hizo kazi ambazo we unaziita kazi za mbwa leo hii nimekua msaada mkubwa sana kwa familia yangu
Nimefungua geti pale serena hoteli miaka miwili kupitia hiyo kazi ya mbwa nimejifunza vitu vingi sana kama ningeendelea kukaa magetoni nisingevijua. Acha dharau jamaa mpambanaji hachagui kazi ilimradi iwe na kipato halali kisichomkwaza mungu wewe endelea kumpoteza mwenzako maboya kwa maneno ya shombo
Naagiza vitu Guangzhou China nauza bongoUnafanya biashara gan sasa hv chief labda unaweza fungua macho wengine
Mkuu acha dharau, nina ndugu yangu alifanya kazi unayoiita Mbwa kwenye moja ya kampuni tajwa, kituo chake cha kazi kilikua GGM.Sikio la kufa halisikii Dawa, peleka mtoto wako akawe Mbwa
Huyo jamaa anadharau halafu utakuta hana mishe yoyote ya kuelewekaMkuu acha dharau, nina ndugu yangu alifanya kazi unayoiita Mbwa kwenye moja ya kampuni tajwa, kituo chake cha kazi kilikua GGM.
Aliacha kua "Mbwa" kwasababu kampuni ilipoteza tenda kwenye hicho kituo enzi za Jiwe.
Lakini hadi anaacha kazi mshahara wake ulikua 900k na alikua anakula chakula anachokitaka, analala sehemu nzuri, anafuliwa nguo, yani kiufupi anapata huduma zote bure akiwa kazini.
Na kazi ilikua wiki mbili kazini wiki mbili nyumbani. Amejenga mjengo wake wa maana, kazi ilivyoisha akachuku mafao yake akafungua biashara na ana maisha mazuri tu. Kwahiyo ndugu acha dharau pia jifunze kuheshimu kazi za watu.
UmekurupukaMkuu acha dharau, nina ndugu yangu alifanya kazi unayoiita Mbwa kwenye moja ya kampuni tajwa, kituo chake cha kazi kilikua GGM.
Aliacha kua "Mbwa" kwasababu kampuni ilipoteza tenda kwenye hicho kituo enzi za Jiwe.
Lakini hadi anaacha kazi mshahara wake ulikua 900k na alikua anakula chakula anachokitaka, analala sehemu nzuri, anafuliwa nguo, yani kiufupi anapata huduma zote bure akiwa kazini.
Na kazi ilikua wiki mbili kazini wiki mbili nyumbani. Amejenga mjengo wake wa maana, kazi ilivyoisha akachuku mafao yake akafungua biashara na ana maisha mazuri tu. Kwahiyo ndugu acha dharau pia jifunze kuheshimu kazi za watu.
Hauelewi unachokisemaHuyo jamaa anadharau halafu utakuta hana mishe yoyote ya kueleweka
Wewe umekimbilia kulima, kwanini uliacha km ulikua unaneemeka? Unajua msiwafanye watu mazuzu kwenye Neema unaachaje?Kweli kabisa mkuu, uyu jamaa akiendelea kusikiliza Mawazo ya hapa bila kuyapima ataangukia pia. Mimi pia nimepitia hizo kampuni, ukikaza unapata mtaji.
Unajibu shortcut elezea unaagiza wapi Ali Express au Ali Baba? TOA maelezo ya kutosha umfungue jamaa apate ramani umekaa unajibu mstari mmoja wakati kule juu unanipiga unajaza paragraph mbili mpaka 3, unaagiza kwa nani unamtuma mtu una mtu una nini unafanyaje mzigo ukufikie au unaenda kuchukua kwa wachina wa K/koo? TOA ramaniNaagiza vitu Guangzhou China nauza bongo