Naombeni msaada wenu kimawazo, pesa ama kazi ndugu zangu

At least nimekutana na comment yenye akili
 
Unafanya kazi kwa siku unalipwa elfu 25, unaondoa matumizi na kubaki na elfu 14 lakini bado unaona haitoshi? Unaujua mshahara wa mwalimu kweli?

Una masihara na maisha wewe, unataka maisha mazuri ilhali kipato chako ni cha chini. Watu hampendi kuambiwa ukweli, najua hautonielewa.
 
Before nilitaka nimwambie ivoivo sema kwa anavoonekana hafanyi kazi apate mtaji ajitegemee anataka kazi yenye mshahara mkubwa aishi nao

Mfano kuna mtu kamwambia atafute security guard kwa mwezi 400k kakubali lakn 25k kwa siku anaona ndogo wakati 25,000×30 ni 750k kuna tatizo mahari kwenye hustle zake
 
Broh unatumia nguvu nyingi sana kujua biashara ninayofanya kwa kutumia wazo la mtoa uzi kamwe utabaki dilemma 🤣
We badala ya kumshauri mtoa mada nini cha kufanya unaanza kuwapiga vijembe wachangiaji we jamaa bure kabisa
 
Acha uchoyo
 
Hata idea ya biashara uliyonayo n mtaji Tosha wengine Wana mitaji lakini hawajui cha kufanya
 
Kasema iyo ela anaweza akaipata leo, halafu wiki kadhaa mbelee akawa hana uhakika wa kupata kazi ya kumuingizia hyo pesa, so hapo mambo lazma yataendelea kua magumu tuu
 
Iyo kazi inayompa iyo pesa ni Leo, then wiki kadhaa mbelee haipatii iyo kazi, so sio kama hivyo ulivyoandika hapo mkuu
 
Hata yeye mleta mada ana matatizo mkuu.
 
Sina stress Mzee hapa nipo napigwa na kiyoyozi,

Pole
kwanini una dharau watu wanaotaka kufanya kazi za ulinzi wakati wewe huwezi au hutaki kuwasaidia? Mtu kafanya hiyo kazi then kaacha now anafanya ishu ingine..unahoji kwanini aliacha? (hapa reasoning capacity yako inaleta ukakasi)
 
Hata yeye mleta mada ana matatizo mkuu.
Matatizo yako wapi, sema huwez kuzuia watu kukuchallenge ningepata hyo 25k kila siku nisingekuwa na haja ya kulalamikia malipo hayo Ila unapata hyo alaf unakaa muda Tena kuipata hyo au ambacho hukuelewa na kunifanya nionekane nna matatizo Ni nn, weka wazi matatizo hayo pengne ndo MSAADA wangu niliokuwa nausubir
 
Tagambaga lulu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yes yes yes
 
Kwa kazi ya ukuli na mda anao utumia iyo ni hela ndogo
 
Unatumia 11,000 na unajua una hali ngumu?

Aisee maisha hayajakubana vizuri..

Karibu mtaani
 
Nyie wasukuma Magufuli aliwapa ajira sana, tena alikuwa na project maalum ya kuhakikisha wasukuma wote mnakuwa mnarun Tz, Asante Mungu,
Uzi wako nimesoma title mana title Inahusisha yaliyomo.
 
Nyie wasukuma Magufuli aliwapa ajira sana, tena alikuwa na project maalum ya kuhakikisha wasukuma wote mnakuwa mnarun Tz, Asante Mungu,
Uzi wako nimesoma title mana title Inahusisha yaliyomo.
MSAADA
 
Nyie wasukuma Magufuli aliwapa ajira sana, tena alikuwa na project maalum ya kuhakikisha wasukuma wote mnakuwa mnarun Tz, Asante Mungu,
Uzi wako nimesoma title mana title Inahusisha yaliyomo.
Msaada plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…