kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Tumesikia kitoto cha elf 2Habarini za asubuhi waungwana
Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi kijana wa elf2 binafsi nachukizwa na huu msemo uliozuka katika jamii wa watu wengi kutuita sisi vijana wa elf2 eti vitoto vya elf2.
Naombeni wenye hii tabia muache mara moja kwani sisi tumeshakuwa tayari ni vijana watu wazima na siyo watoto tena. Asanteni.
Naombeni mnisaidie kupaza sauti😴🙏
holoholo
Nomadix
secretarybird
Grahams
mzabzab
Vinajidai vinajua kila kituTatizo vitoto vya afu 2 vinasumbua sana huoko mtaani!View attachment 3325100Kwa hili baridi nijitafitie katoto ka afu2 kanipe joto!
Kuwa kwa wazazi siyo kosa tatizo ni uchumi tu ...hapo panaitwa nyumbani siyo kwa wazaziNimepata taarifa Chris Brown anasherekea birthday yake leo kwa kutimiza miaka 35 nikashtuka sana... Kumbe huyu jamaa ni rika langu alafu bado nipo kwa wazazi 😣
Vinajidai vinajua kila kitu
Kwani kuwa kwa wazazi ndio nini mkuu?Nimepata taarifa Chris Brown anasherekea birthday yake leo kwa kutimiza miaka 35 nikashtuka sana... Kumbe huyu jamaa ni rika langu alafu bado nipo kwa wazazi 😣
Ukipigilia msumari kidogo tu vinaumia, vinapunguza vibe kabisaVinajidai vinajua kila kitu
Kabisa. Shida sio mwaka uliozaliwa, shida ni unavyoenenda.Tokea nikufahamu hapa JF mada zako ni kutembea na wanaume kama timu ya mpira na mashabiki wa CCM wameshakumaliza wote
Dawa yao ni bakola tuNa vinajua balaah!
Tatizo havijiamini licha ya kujiona ndiyo vi MicrosoftUkipigilia msumari kidogo tu vinaumia, vinapunguza vibe kabisa
Hahaha..ni noma sana,Nimepata taarifa Chris Brown anasherekea birthday yake leo kwa kutimiza miaka 35 nikashtuka sana... Kumbe huyu jamaa ni rika langu alafu bado nipo kwa wazazi 😣
Sio jambo jema labda na wao waende kwa wazazi wao waniache hapahapa kwa wazazi wanguKwani kuwa kwa wazazi ndio nini mkuu?