Naombeni mtuite vijana wa elfu 2 na siyo vitoto vya elfu 2

Naombeni mtuite vijana wa elfu 2 na siyo vitoto vya elfu 2

Mimi kinachonishangaza ni waliopanga haya magroup ya generations kuamua kwamba Gen Z ianzie 1997 hadi 2012, kwanini isingeanzia 2000 tu wanatuwekaje tuliozaliwa late 90s pamoja na vitoto vya 2000, sijui wamezingatia vigezo gani ila sisi tulitakiwa tuwe pamoja na Millennials huko
Sociologists walianza kufanya haya mahesabu baada ya vita vya pili vya dunia.

Baada ya vita vya pili, watu walizaliana sana mpaka 1964 ambapo vidonge vya uzazi wa mpango viligunduliwa.

Kwahiyo kizazi cha kipindi hicho(1946-1964) kiliitwa "baby boomers".

Hiyo miaka 15 imewekwa kwasababu wanaamini ndani ya hicho kipindi kuna mabadiliko ya kiuchumi, kisiasa, kiteknolojia na kijamii hutokea.

Lakini sio sheria, ni muongozo fulani tu ambao wataalam hutumia kufanya tafiti mbalimbali.
 
Habarini za asubuhi waungwana

Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi kijana wa elf2 binafsi nachukizwa na huu msemo uliozuka katika jamii wa watu wengi kutuita sisi vijana wa elf2 eti vitoto vya elf2.

Naombeni wenye hii tabia muache mara moja kwani sisi tumeshakuwa tayari ni vijana watu wazima na siyo watoto tena. Asanteni.

Naombeni mnisaidie kupaza sauti😴🙏
holoholo
Nomadix
secretarybird
Grahams
mzabzab
Binti Sayuni03 katika hiyo 2000s wewe ni wa 2000, 2001, 2002, 2003, 2004 ama 2005?
 
Back
Top Bottom