Naombeni mtuite vijana wa elfu 2 na siyo vitoto vya elfu 2

Naombeni mtuite vijana wa elfu 2 na siyo vitoto vya elfu 2

Waligawa hivyo kwakuwa kuanzia mwaka huo 1997 mimba nyingi zimepatikana Gesti na Maghetto ya washkaji.
Kisa kwenu mimba zenu zilipatakana huko, basi ndio unadhani watu wote mimba zao zilipatikana huko, uwe na adabu kijana
 
Habarini za asubuhi waungwana

Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi kijana wa elf2 binafsi nachukizwa na huu msemo uliozuka katika jamii wa watu wengi kutuita sisi vijana wa elf2 eti vitoto vya elf2.

Naombeni wenye hii tabia muache mara moja kwani sisi tumeshakuwa tayari ni vijana watu wazima na siyo watoto tena. Asanteni.

Naombeni mnisaidie kupaza sauti😴🙏
holoholo
Nomadix
secretarybird
Grahams
mzabzab
Sasa Kama hamna impact yoyote kwenye No Reforms No Election tutaendelea kuwaita vitoto tuu.
 
Napendekeza muitwe UTI za Buku Mbili.
 
Back
Top Bottom