Naombeni mtuite vijana wa elfu 2 na siyo vitoto vya elfu 2

Sociologists walianza kufanya haya mahesabu baada ya vita vya pili vya dunia.

Baada ya vita vya pili, watu walizaliana sana mpaka 1964 ambapo vidonge vya uzazi wa mpango viligunduliwa.

Kwahiyo kizazi cha kipindi hicho(1946-1964) kiliitwa "baby boomers".

Hiyo miaka 15 imewekwa kwasababu wanaamini ndani ya hicho kipindi kuna mabadiliko ya kiuchumi, kisiasa, kiteknolojia na kijamii hutokea.

Lakini sio sheria, ni muongozo fulani tu ambao wataalam hutumia kufanya tafiti mbalimbali.
 
Binti Sayuni03 katika hiyo 2000s wewe ni wa 2000, 2001, 2002, 2003, 2004 ama 2005?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…