Naombeni mtuite vijana wa elfu 2 na siyo vitoto vya elfu 2

Waligawa hivyo kwakuwa kuanzia mwaka huo 1997 mimba nyingi zimepatikana Gesti na Maghetto ya washkaji.
 
Nimepata taarifa Chris Brown anasherekea birthday yake leo kwa kutimiza miaka 35 nikashtuka sana... Kumbe huyu jamaa ni rika langu alafu bado nipo kwa wazazi 😣
Inasikitisha sana, nafikiri hii miaka Huwa inafika muda inaganda.
Mi naanza kumfahamu nikiwa Kirito alikuwa mkubwa, iweje Leo ana 35
 
Hujanimention hii sio.sawa naandamana
 
Nimepata taarifa Chris Brown anasherekea birthday yake leo kwa kutimiza miaka 35 nikashtuka sana... Kumbe huyu jamaa ni rika langu alafu bado nipo kwa wazazi 😣
🤣🤣🤣usijali mkuu we endelea kukaa tu huku nje hapafai mkuu
 
Kuna vitoto vya 2007,06,05 na 04 ndo vinaongoza chati haya ya 2000,02,03 yashakuwa mazee.
 
Aaah qmmk walah!Mzee baba hukuvaa helmet ona sasa gono lishaa leta dhahama!Mimi hutu natafuna sana sema Niko makini!
Oyaa ukiiona malisafi chuchu konz tu ila kumbe ndani jau! Vichafu sana hivyo vitoto.
 
Mkuu katika hili siwatetei bali nawadidimiza kabisa kwa kuwaita viembryo vya elfu mbili kwa sababu mnashindwa kuhimIli dushelele langu tuwapo kwa bed🛏️.

Cc Harmful Nomadix mzabzab
 
Yeah nafahamu mkuu nilifuatilia nikagundua kwamba hizo generations, zimekuwa grouped katika interval ya miaka 15 15, isipokuwa Silent Generation na Gen Boomers, ila hoja yangu ni kwamba wangeextend kidogo hiyo interval kuanzia kwa Gen X, pengine sisi wa late 90s tungeangukia kwa Millennials huko
 
Kumbe wewe ni kitoto cha 1997🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…