Kisa kwenu mimba zenu zilipatakana huko, basi ndio unadhani watu wote mimba zao zilipatikana huko, uwe na adabu kijanaWaligawa hivyo kwakuwa kuanzia mwaka huo 1997 mimba nyingi zimepatikana Gesti na Maghetto ya washkaji.
Kwa nn 2004 jaman😭Inategemea sasa ,. Kuanzia 2004 na kuendelea nyie bado ni vitoto
Sasa Kama hamna impact yoyote kwenye No Reforms No Election tutaendelea kuwaita vitoto tuu.Habarini za asubuhi waungwana
Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi kijana wa elf2 binafsi nachukizwa na huu msemo uliozuka katika jamii wa watu wengi kutuita sisi vijana wa elf2 eti vitoto vya elf2.
Naombeni wenye hii tabia muache mara moja kwani sisi tumeshakuwa tayari ni vijana watu wazima na siyo watoto tena. Asanteni.
Naombeni mnisaidie kupaza sauti😴🙏
holoholo
Nomadix
secretarybird
Grahams
mzabzab
Si unaona sasaKumbe wewe ni kitoto cha 1997🤣
unayaweka sana haya mambo kichwani, wakati ni nadharia tuSi unaona sasa