username required
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 343
- 1,069
- Thread starter
- #441
Jumapili ndio kuna karaoke .Duuuh nitakuja next weekend
Karibu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumapili ndio kuna karaoke .Duuuh nitakuja next weekend
Asante sana ni pm namba kama hutojaliJumapili ndio kuna karaoke .
Karibu sana
ngoja nitaweka videoPicha hakuna mbona.. tuone kama vibe lipo.
Karibu sanaWeekend nitakua hapo
🤣🤣🤣🤣
Kuna Bar moja niliingia kula chakula maeneo ya Buza kwa Osama aisee ilikuwa na Watoto wakali made in Singapore nimekula nikaagiza bia, salio likakata mpaka nikampigia Mwana nipo safari natokea Iringa nimeachwa na basi hapa Mikese nilishuka kuchimba dawa tumbo linazingua sana na vitu vyangu vipo kwenye gari nisaidie hata 30k nichukue boda nilifukizie Mwana akatuma 50k nikaendelea kula vitu huku......
Bar ikiwa na Wahudumu wazuri na wacheshi waliochangamka utapata sana wateja.
🤣🤣🤣🤣Sawa Ila siku nyingine ukipiga simu ntakuwa nakuambia utumie video call maana uongo wako nimeshaujua.
Naaaam ,karibu sana kaka.Mmefanya la maana kuweka WiFi