Naombeni suluhisho la 'Kikatili' la Kukabiliana na Paka wanaolia kama Watoto Wachanga Majumbani Nyakati za Usiku tu

Wewe nunua manati harafu uhakikishe asikuone wakati unamlenga,ukimkosakosa siku nne bila yeye kukuona haji
 
Kama wewe ni mcatholic nenda kanisani ukachukue Maji ya baraka nyunyizia ndani na nje ya nyumba yako alafu ulete ushuhuda.
 
Hao ni majirani zako wako kwenye tamaduni zao. Piga usingizi tu
 
Kwa komenti hii wewe bado mdogo sana.

Ukikua hutarudia tena kugoogle mambo yaliyo juu ya uwezo wako
 
Kwa komenti hii wewe bado mdogo sana.

Ukikua hutarudia tena kugoogle mambo yaliyo juu ya uwezo wako
Ebu tuambie kwanini paka analia usiku??au pia wewe unasema uchawi??ulishajiuliza kwanini ndege wa kiume wana rangi nzuri kuliko ndege wa kike??? Au kwanini simba dume shingoni ana manyoya mengi ila wakike hana?? Naomba majibu yalioshiba...
 
Toa majibu mzee mbona kimya,inaonyesha ulivyolegelege hata kujdfend huwezi,usiwe unakurupuka kucomment usichokijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ