Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Ila Nana haparui lakini...😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Nana haparui lakini...😜
🤣🤣🤣🤸🤸Mtoa mada usije jaribu hii mbinu tafadhali
Wee,Nana is very calm aisee,ila mama kamchukua jumla😔Ila Nana haparui lakini...
Kama wewe ni mcatholic nenda kanisani ukachukue Maji ya baraka nyunyizia ndani na nje ya nyumba yako alafu ulete ushuhuda.Kuna Mmoja nimetoka na Panga ili nikabiliane nae Kikamilifu nikakuta amenisonya na Kujamba kama Binadamu nikaamua kurudi tu ndani na Panga langu na Kuendelea kuwa hapa JamiiForums, ila kwa Nje nawasikia Wakilia kama Watoto Wachanga na tena sasa hivi Wamezidisha Kulia na wakisogea upande wa lilipo Dirisha langu.
Na kwanini ukiwategea Sumu hawali?
Punguza ujinga.Uchawi mtafute Yesu
Wanasonya na kujamba?Hao wanyama ndivyo walivyo ndo walivyoumbwa kulia hivyo ila ikiwa km una element za kishirikina ndo utateseka sn
Kwa komenti hii wewe bado mdogo sana.Nimesoma comments nyingi humu ndani,kuna nilizozielewa na nyingine sijazielewa kabisa,mwingine anasema mwaga chumvi ya upa
ako,mara fungulia redio Yani wabongo tunauelewa mdogo sana jamani ebu tusomeni vitabu mara kwa mara,watu wangu wanahaNgamia kwakukosa maarifa(KASEMA MUNGU)
5 REASONS WHY CAT YOWLING AT NIGHT
1)..CATS ARE NATURALLY MORE ACTIVE AT NIGHT
2)...CATS MAY BE BORED OR UNSTIMULATED
3)..OVER ACTIVE THYROID OR KIDNEY DISEASE
4)..OUTDOOR CATS MAY FEEL TRAPPED.
5)..YOWLING COULD BE THE SOUND OF MATING..
watu waliosoma mambo ya wanyama wanajua sababu zote hizi
Ebu tuambie kwanini paka analia usiku??au pia wewe unasema uchawi??ulishajiuliza kwanini ndege wa kiume wana rangi nzuri kuliko ndege wa kike??? Au kwanini simba dume shingoni ana manyoya mengi ila wakike hana?? Naomba majibu yalioshiba...Kwa komenti hii wewe bado mdogo sana.
Ukikua hutarudia tena kugoogle mambo yaliyo juu ya uwezo wako
Toa majibu mzee mbona kimya,inaonyesha ulivyolegelege hata kujdfend huwezi,usiwe unakurupuka kucomment usichokijuaEbu tuambie kwanini paka analia usiku??au pia wewe unasema uchawi??ulishajiuliza kwanini ndege wa kiume wana rangi nzuri kuliko ndege wa kike??? Au kwanini simba dume shingoni ana manyoya mengi ila wakike hana?? Naomba majibu yalioshiba...