Naombeni suluhisho la 'Kikatili' la Kukabiliana na Paka wanaolia kama Watoto Wachanga Majumbani Nyakati za Usiku tu

Naombeni suluhisho la 'Kikatili' la Kukabiliana na Paka wanaolia kama Watoto Wachanga Majumbani Nyakati za Usiku tu

Wewe nunua manati harafu uhakikishe asikuone wakati unamlenga,ukimkosakosa siku nne bila yeye kukuona haji
 
Kuna Mmoja nimetoka na Panga ili nikabiliane nae Kikamilifu nikakuta amenisonya na Kujamba kama Binadamu nikaamua kurudi tu ndani na Panga langu na Kuendelea kuwa hapa JamiiForums, ila kwa Nje nawasikia Wakilia kama Watoto Wachanga na tena sasa hivi Wamezidisha Kulia na wakisogea upande wa lilipo Dirisha langu.

Na kwanini ukiwategea Sumu hawali?
Kama wewe ni mcatholic nenda kanisani ukachukue Maji ya baraka nyunyizia ndani na nje ya nyumba yako alafu ulete ushuhuda.
 
Hao ni majirani zako wako kwenye tamaduni zao. Piga usingizi tu
 
Nimesoma comments nyingi humu ndani,kuna nilizozielewa na nyingine sijazielewa kabisa,mwingine anasema mwaga chumvi ya upa
ako,mara fungulia redio Yani wabongo tunauelewa mdogo sana jamani ebu tusomeni vitabu mara kwa mara,watu wangu wanahaNgamia kwakukosa maarifa(KASEMA MUNGU)

5 REASONS WHY CAT YOWLING AT NIGHT

1)..CATS ARE NATURALLY MORE ACTIVE AT NIGHT

2)...CATS MAY BE BORED OR UNSTIMULATED

3)..OVER ACTIVE THYROID OR KIDNEY DISEASE

4)..OUTDOOR CATS MAY FEEL TRAPPED.

5)..YOWLING COULD BE THE SOUND OF MATING..
watu waliosoma mambo ya wanyama wanajua sababu zote hizi
Kwa komenti hii wewe bado mdogo sana.

Ukikua hutarudia tena kugoogle mambo yaliyo juu ya uwezo wako
 
Kwa komenti hii wewe bado mdogo sana.

Ukikua hutarudia tena kugoogle mambo yaliyo juu ya uwezo wako
Ebu tuambie kwanini paka analia usiku??au pia wewe unasema uchawi??ulishajiuliza kwanini ndege wa kiume wana rangi nzuri kuliko ndege wa kike??? Au kwanini simba dume shingoni ana manyoya mengi ila wakike hana?? Naomba majibu yalioshiba...
 
Toa majibu mzee mbona kimya,inaonyesha ulivyolegelege hata kujdfend huwezi,usiwe unakurupuka kucomment usichokijua
 
Back
Top Bottom