Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Umeanza tenaMfahamu mtu wa kwanza kusoma Qur'an na kufunga Ramadhan akiwa anga za mbali "outer space"
View attachment 2732784
View attachment 2732789
View attachment 2732792
Ma shaa Allah na salat zake 5 kwa siku hazikumpita.
View attachment 2732793
Hiyo ni miaka 37 nyuma, siyo jana au leo.
Niwaongeze mwengine wa juzi juzi?
Mwarabu kagundua nini?Elimu yote kubwa ya sasa hivi chanzo chake ni Uislam kwa ushahidi kabisa na tafiti.
Hawa watu hawasomi wanadanganyana vichochoroni ivijijini huko. Hivi kanisani watafundishwa nini zaidi ya kumuabudu mzungu?
Kuluwani inayosema jua linazama kwenye matope!?Innovation yote hiyo inatokana na Qur an ,baadhi ya wazungu wanafanya proof na hata huko kuna maendeleo na hiyo ni meme tu .
Kaa chini usome achana na porojo ,wazungu wanafanya tafiti ila wenzao wanasoma na wanajua kabisa vyanzo vya mambo mengi kupitia Qur an .
Sibishani na zero brain !Kuluwani inayosema jua linazama kwenye matope!?
Ubaya wa nini tena kijana, na sisi tunapenda hayo ili tuwape darsa.Bana
Bana
Bana
Usitutie ubaya kwa ndugu zetu we ntuπ€£
Unavyojua kujipakulia minyama sasaElimu yote kubwa ya sasa hivi chanzo chake ni Uislam kwa ushahidi kabisa na tafiti.
Hawa watu hawasomi wanadanganyana vichochoroni ivijijini huko. Hivi kanisani watafundishwa nini zaidi ya kumuabudu mzungu?
Uwe unasoma na kuelewa. Elimu ya mzungu haiwezi kukujuza kila kitu zaisi ya kujipamba wao.Mwarabu kagundua nini?
Wamenunua wamepewahaohao wamenunua bandari yenu na nyie mpo
Huyo alipata msaada wa wagalatia wangemwacha mwenyewe asingerudi.Pitia post #11 halafu unambie wewe mgala wa bongo, lini?
Utabaki kuota unadondoka majabalini tu, Robert Heriel Mtibeli alikuwa anaota anadondokewa na videge vya ATC.
Sasa akiiona hii itabidi aote anadondokewa na space shuttle.
Nataka ninunue battle nichagulie mtu nilianzisheHuyo alipata msaada wa wagalatia wangemwacha mwenyewe asingerudi.
Uanajua faizafoxy mvinyo
inaongeza uwezo wa kufikiri
Kwanza elewa kuna member humu anaitwa Ironbutterfly mnamkera mnoo pale mnapomhita Rais Samia jina la Mama.Ubaya wa nini tena kijana, na sisi tunapenda hayo ili tuwape darsa.
Hivi hujaielewa R ya pili ya mama Samia> "resiliency", ukiielewa utatuelewa.
Kama ulikuwa huelewi R zile 4 za mama Samia, zote ni mafundisho ya kina ya Kiislam.
Zile R 4 ndizo kati ya sifa kuu za Bwana Mtume Muhammada salla Allahu Alayhi Wasalaam.
Nimeanza kutowa darsa lake huku, kajisomee:
RRRR ya Rais Samia Watanzania wengi wanaoishi kimazoea hawatoielewa haraka
RRRR za falsafa ya mama Samia ina manufaa makubwa sana, tena sana kwa kila Mtanzania na kwa Tanzania kwa ujumla. R hizi 4 za mama Samia zina fursa kubwa sana ndani yake, kwetu sote. Nawaasa Watanzania tusikurupuke na tusibaki kutawaliwa kimazowea na wala tusiwe na fikra za mama Samia kuwa...www.jamiiforums.com
We nenda kajiuze huko na kaombeombe hela kwenye PM za watu, kauze biryan hiyo huko... humu hapakufaiKuluwani inayosema jua linazama kwenye matope!?
Mtafute Lord denningNataka ninunue battle nichagulie mtu nilianzishe
Huyo sio Muislam nichagulie Muislam mmoja tu nipe battle nitakaa kwenye red cornerMtafute Lord denning
Nipo hapa masaa 24!Huyo sio Muislam nichagulie Muislam mmoja tu nipe battle nitakaa kwenye red corner
Watu kama hawa ndo nawaogeshaga mitusi naishia kuonekana HOHEHAHE msela mavi πππKuluwani inayosema jua linazama kwenye matope!?
Nichagulie Muislam mmoja tu nipe battle nitakaa kwenye red corner yeye achukue blue cornerNipo hapa masaa 24!
Mimi muislamu ,nataka battle lolote lile kama unataka elimu na hata kejeli yaani maudhi nipo fresh.Nichagulie Muislam mmoja tu nipe battle nitakaa kwenye red corner yeye achukue blue corner