Naombeni ushauri juu ya mtoto asiyepelekwa shule kisa hakuna ada

Naombeni ushauri juu ya mtoto asiyepelekwa shule kisa hakuna ada

Haniamini kwa kuona yuko perfect, sio kama siwezi kulea mtoto, anajua nipo strict sipendi ujinga sasa huwa hapendi mtoto aadhibiwe and so on, kwahiyo anaona kama yeye ndio atamlea ipasavyo

😓😓

Malezi ya lele mama ni magumu sana badaye yanaleta effect kubwa! Nakubuka mwaka jana alikuja nyumbani kumsalimia bibi yake, akiamka asbuh anamwambia mama nipikie mayai na sosage, mama alikuwa naishia kucheka tu anamkaangia mihogo na maandazi! Mtoto hawezi kula ugali anataka pizza na burger mara tacos! Aiseeee.. nikiend anaye sehemu marafiki znagu wanashangaa kila mtu anashangaa mtoto anavyoongea kama ana miaka mi4 kumbe 7🫢 kuna kipindi alikuwa analishwa eti duhh! Kuwatch cartoons 24/7 moaka akawa addicted ukikaa naye anaangalia anafatiliza maneno ya movie mwanzo mwisho unabaki mdomo wazi!🤦🏽‍♀️ Sijui kama nakosea ila haya malezi yana gharimu sana, mtoto hawezi kuoga mwenyewe ukimuomba ata week haiishi keshakuja kufatwa duhh
Hili swala linatakiwa lianzie ngazi ya familia, wazazi wenu wapo, ndugu zenu wapo, fikisha shauri lako kwa pande zote mtatue hii changamoto

Level ya wazazi ikishindwa kufikia muafaka peleka shauri lako serikalini ustawi wa jamii. Ufumbuzi utapatokana na kama wataona wewe unafaa kukaa na mtoto kwa vigezo mlivyowekeana then itakuwa hivyo ikionekana haupo fit kuishi na mtoto kwa sababu fulani basi utaambiwa hivyo.

Kukaa kulalamika na kuwaza utafanya nini haisaidii chochote. Malezi ya watoto lazima yawe mutual, mkubaliane, mridhiane hata kama nyie wawili mmepishana kimahusiano.
 
Back
Top Bottom