naa
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 2,033
- 4,701
Sasa hivi umejipata?? If yes nenda nae mahakamani dai mtoto wako upambane nae mwenyeww,Sio mume wangu, ni mtu tulishindwana miaka mingi akamkatalia mtoto nilikuwa masomoni sikuweza kumchukua, nimemaliza nikawa najitafuta sikuwa na huo ujeuri wa kumchukua japo ilikuwa mbinde sana kumchukua mtoto kila mtu alikataa nisimchukue sina uwezo wa kumhudumia, basi ndio ikawa hivyo mpaka leo!
N.b Hachukui ushauri wangu wowote kuhusu uyo mtoto..
Wanaume wana ujinga mwingi na huyo mtoto akiwa mbumbumbu lawama zitarudi kwako hata kama hauishi nae, na hilo suala
La mtoto kukosa masomo ndo iwe sababu no moja kokote uendako.
Mtoto mjinga ni mzigo wa mama siku zote.