Naombeni ushauri juu ya mtoto asiyepelekwa shule kisa hakuna ada

Sorry
kama ni mwanao sawa
kaa chini na mumeo mdiscuss hilo swala mumpeleke shule za serikali
Sio mume wangu, ni mtu tulishindwana miaka mingi akamkatalia mtoto nilikuwa masomoni sikuweza kumchukua, nimemaliza nikawa najitafuta sikuwa na huo ujeuri wa kumchukua japo ilikuwa mbinde sana kumchukua mtoto kila mtu alikataa nisimchukue sina uwezo wa kumhudumia, basi ndio ikawa hivyo mpaka leo!

N.b Hachukui ushauri wangu wowote kuhusu uyo mtoto..
 
hio ni family issue tu unaweza kuimaliza within a day
 
halafu mimi navyojua mwanamke yoyote yule mwenye akili sawasawa hawezi kumuachia mtoto wake nyuma..

hata ikitokea amemuacha bs atampeleka kwa bibi yake kwa uangalizi maalum na sio kumuachia baba wa huyo mtoto

Sasa nashangaa wewe ilikuaje ukafeli hapo?
 
Kesi kama hiyo nimeisikia huku ninapoishi kuna pastor wa hivi vikanisa vya mtaani kamtoa mtoto shule za kata,kampeleka hizi za what is your name?

Matokeo yake stress mingi sana,ana haha kusumbua ndugu kwa mizinga

Wadau tujifunze kuishi kwa hali zetu au pale uchumi wetu unapofikia,tuache sifa za kijinga kutaka kuonekana uko safi kumbe hali ni tete,kubali kitu fulani hukiwezi na achana nacho,juzi niliweka uzi hapa,unaosema sio lazima umalize ulichokianza bali unaweza kukiacha na kutafuta namna nyingine

halafu mimi navyojua mwanamke yoyote yule mwenye akili sawasawa hawezi kumuachia mtoto wake nyuma..

hata ikitokea amemuacha bs atampeleka kwa bibi yake kwa uangalizi maalum na sio kumuachia baba wa huyo mtoto

Sasa nashangaa wewe ilikuaje ukafeli hapo?
Tusirudi nyuma, inatakiwa fumbuzi za suluhu za matatizo zifanyike kuelekea mbele
 
Back
Top Bottom