Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
tena hio ni serious case mtoto ananyimwa haki yake ya msingi Elimu..Sawa asante kwa ushauri
lazima litafanyiwa kazi haraka sana
tena hio ni serious case mtoto ananyimwa haki yake ya msingi Elimu..Sawa asante kwa ushauri
Kama mtoto unaishi nae wewe bas mpeleke shule yeyote kulingana na kipato chako bila kumtegemea yeye.Ndio
Kama angekuwa wako ungekuwa na uamuzi juu yake.Huyu ni wangu jmn😅
Nimejituma ninapoweza ila sina huo uwezo wa kulipa hizo gharama ndio maana nimesuggest asome shule ya kawaida kwanza mambo yakikaa sawa atarudi alipokuwa kwani shida iko wapi?Cha kufanya: Wewe unatoa mchango gani kwenye ada? Kwa nini usijishughulishe wewe ili upate ada? Nauliza hivi kwa sababu nina uzoefu mkubwa na hii situation, imenikuta (mimi ni mwanaume). Tulishindwana, ila mama akawa hatoa msaada wowote, na anang'ang'ania mtoto kama luba. Akipata fedha ni yake na bili za ada plus kila mahitaji ya shule naletewa mimi. Yeye anaona hana jukumu lolote na kuna wakati anadanganya shule inahitaji hili na lile kumbe ni uongo. la sikatai kuna wanawaume wana matatizo. Ushauri; jitume wewe, msaidie pale anapokwama.
sawa nimekuelewaHaukuwa wakati sahihi just elewa siwezi kuanza kukusimlia hapa!
Hapo pagumu!Siishi naye tuko mikoa tofauti
Eimu ni bure.. Ukitaka kulipia ada ni wewe mwenyewe umetakaCha kufanya: Wewe unatoa mchango gani kwenye ada? Kwa nini usijishughulishe wewe ili upate ada? Nauliza hivi kwa sababu nina uzoefu mkubwa na hii situation, imenikuta (mimi ni mwanaume). Tulishindwana, ila mama akawa hatoa msaada wowote, na anang'ang'ania mtoto kama luba. Akipata fedha ni yake na bili za ada plus kila mahitaji ya shule naletewa mimi. Yeye anaona hana jukumu lolote na kuna wakati anadanganya shule inahitaji hili na lile kumbe ni uongo. la sikatai kuna wanawaume wana matatizo. Ushauri; jitume wewe, msaidie pale anapokwama.
Tofauti na yeye kuna ndugu zake wa karibu unawafahamu?Wewe acha tu ndio maana nimeita watu wenye familia wewe ndege huwezi kuelewa
Kama mtoto ni wako mpeleke shule yoyote ambao unaona unaweza kumudu gharama yake. Kama si wako mwachie mtoto wake.Wewe acha tu ndio maana nimeita watu wenye familia wewe ndege huwezi kuelewa
hakuna ugumu hapo aende akaripot ustawi wa jamii apewe mwanae akamuhudumie mwenyewe mbona simple sana.Hapo pagumu!
Ndio ninamacho na masikio.Unaona??
Dah! Ila kama mtoto ni wako halafu njemba linazingia pole sana. Nikajua unamwonea huruma mtoto asiye wako.Mambo sio marahisi hivyo..
Unadhani kwa nini Baba wa mtoto hasikilizi ushauri wako kuhusu mwanzo?Kawa sababu nilikuwa wao kipindi hicho, na nimeona mawazo yao hayatanifaa kwa sasa,
Miaka 8, alisoma vizuri tu kuanzia KG mpaka middle na top class, sasa grade 1 ndio kakaa tu mpaka sasa imagine poker🥲Mtoto kwani anamiaka mingapi?
Kama kafika umri wa kwenda shule na bado huyo mzazi mwenza hataki aende, hilo ni kosa kisheria.