Naombeni ushauri juu ya mtoto asiyepelekwa shule kisa hakuna ada

Naombeni ushauri juu ya mtoto asiyepelekwa shule kisa hakuna ada

Nimejituma ninapoweza ila sina huo uwezo wa kulipa hizo gharama ndio maana nimesuggest asome shule ya kawaida kwanza mambo yakikaa sawa atarudi alipokuwa kwani shida iko wapi?
shida ipo kubwa huwezi mpeleka mtoto shule ya kawaida (government) halafu baadae umrudishe private maana hapo itabidi tena arudi kule kwenye grade alipoishia ili aende sawa na lugha so ukiamua kumpeleka government that means abaki huko hadi atakapomaliza grade seven ndio maana mzazi mwenzio anapata ukakasi, mvumilie hiyo miezi michache akishindwa ndio uchukue hatua inayofuata.
 
Pole sana Shem Seran.

Lengo la Baba mtoto ni kuona mtoto wake anaendelea na Elimu nzur kama alivyoanza std 1. Na anaumia kuona mwanae hajaenda. Na pia hatak mtoto asome kayumba.

Mm naona fanya hivi
- mpe nafas ajaribu tena. Ila Mwite mkae chini mzungumze kwa utaratibu kujua ni lini deadline.
Ili ikipita huo muda ijulikane imeshindikana.

- msaport kwa kugawana ada na mahitaj mengine nusu kwa nusu. Ijulikane ni kiasi gan ww unatakiwa utoe na ww uitafute kwa namna yoyote ile.

- utafute shule yoyote nzur ambayo unaona ada ni nafuu ambayo hata ww kwa kushirikiana na ndugu zako wawil watatu mnaweza kumudu.

Kumpeleka Kayumba hata mm kama Baba si-sapport.
Inabidi mkoame kwa namna yoyote.

Pia ningependa kujua Mtoto ni wakike au kiume?. Jamaa anaishi na mwanamke mwingne au yuko na mtoto tu?.
 
Huu mwaka wa pili kakaa nyumbani, mbona mi mvumilivu sana jamani, hapo nakosea wapi?
 
Miaka 8, alisoma vizuri tu kuanzia KG mpaka middle na top class, sasa grade 1 ndio kakaa tu mpaka sasa imagine poker🥲
Unaumiza sana. Kama ana 8 years Seran kuhalisia kesi hii ni ngumu, maana kashavuka umri wa lazima kukaa na mama ake. Hivyo ni kumuachia Mungu na usiache kumuombea mwanao afya njema katika makuzi na malezi atayopata kwa baba ake, ndugu, majirani na jamii kwa ujumla.
Au amia mkoa alipo mtoto iliiwe laisi kufanya co parenting

I'm sorry Seran
 
Pole sana Shem Seran.

Lengo la Baba mtoto ni kuona mtoto wake anaendelea na Elimu nzur kama alivyoanza std 1. Na anaumia kuona mwanae hajaenda. Na pia hatak mtoto asome kayumba.
Thanks shem mi pia sipendi kuona hilo ndio maana hatukumzoesha huko, kiasi kwamba hata kiswahili hajui vzr
Mm naona fanya hivi
- mpe nafas ajaribu tena. Ila Mwite mkae chini mzungumze kwa utaratibu kujua ni lini deadline.
Ili ikipita huo muda ijulikane imeshindikana.
Ni muda mrefu sana unajua eeh
Huwa hawezi, na kama ikitokea tukiongea najikuta naongea mwenyewe tukitoka hapo anendelea na jambo lake hilohilo! Huwa hatakinkuingiliwa
- msaport kwa kugawana ada na mahitaj mengine nusu kwa nusu. Ijulikane ni kiasi gan ww unatakiwa utoe na ww uitafute kwa namna yoyote ile.
Shida sasa hivi ni kawamba, hapo ghaeama siziwezi pekeangu
- utafute shule yoyote nzur ambayo unaona ada ni nafuu ambayo hata ww kwa kushirikiana na ndugu zako wawil watatu mnaweza kumudu.
Tumetafuta hataki!
Kumpeleka Kayumba hata mm kama Baba si-sapport.
Inabidi mkoame kwa namna yoyote.
Unakomaaje sasa umekaa tu?
Pia ningependa kujua Mtoto ni wakike au kiume?. Jamaa anaishi na mwanamke mwingne au yuko na mtoto tu?.
Ni Me, alikuwa naye ila saizi naona yuko na mtoto tu
 
Kwa sababu muda mwingi alikuwa anapambana naye mwenyewe, kwanini sasa hivi ndio niwe concern?
Pomoja na hilo ila nafasi yako kama mama haiwezi kupoteza, Una haki na wajibu wankuhakikisha hatma njema kwa mwanao.

Ilikuwepo sababu ya kutosha kumuachia mwenyewe apambane na mtoto labda?
 
Unaweza kuishi na mtoto na kumhudumia kwenye shule za serikali?

Kama unajiweza nenda dawati utamchukua mtoto wako umpeleke shule mwenyewe.
Chukua ushauri wa huyu bibie/bwana mkubwa...Pale uliponiuliza ukienda serikalini akikataa bado je?

KITAKACHOFANYIKA NI HIKI..PERIOD!
 
GEN z wanauwezo mkubwa wa kimawazo kuliko hao mnaowaita watu wazima. Sio kila aged ana aka akili , kuna wajinga waliozeeka.

EX wako ni mtu fulani hivi ana ujuaji, anajua kabisa ameshindwa ila hataki kukiri udhaifu wake.

Nenda kwenye uongozi wa mtaa.
 
Unaumiza sana. Kama ana 8 years Seran kuhalisia kesi hii ni ngumu, maana kashavuka umri wa lazima kukaa na mama ake. Hivyo ni kumuachia Mungu na usiache kumuombea mwanao afya njema katika makuzi na malezi atayopata kwa baba ake, ndugu, majirani na jamii kwa ujumla.
Au amia mkoa alipo mtoto iliiwe laisi kufanya co parenting

I'm sorry Seran
Namuombea sana hujui tu navyomlilia huyu Mungu🥹

Kuhamia huko siwezi dear, ila asante kwa huu ushauri utanifaa sana
 
Back
Top Bottom