Naombeni ushauri kabla hili halijaniua

Naombeni ushauri kabla hili halijaniua

Habari zenu, Kwa kweli naomba mnipe ushauri maana ni siku ya tano sasa sili wala silali mpaka nimeamua kuja mbeli zenu mnipe Masada WENU
Maana naona sasa naenda kupata tatizo la moyo.

Kisa kiko hivi mm nimeoa Kwa ndoa kabsa na ndoa ina miaka 3, tumebahatika kupata mtoto mmoja, Mimi na mke hatukuwahi kuwa na ugomvi wowote mm na yeye.
Kila kitu nilijitahidi kumtimizia kadili ya uwezo, na baadae nikamfungulia Duka.
Sasa wiki moja nyuma nilipata safari ya ghafla
nikasafiri baada ya kusafiri nimekaa kama siku tatu mke wangu akaniambia kuwa kuna jirani kapata msiba akumuone.
Basi mm nikamruhusu aende baada ya kwenda masaa kama mawili napigiwa simu na jamaa yangu kuwa kamuona akiwa na jamaa wakiingia ndani Kwa jamaa.
Niliumia Sana kupata taarifa hizo ikabidi nigeuke Kesho yake na kumhoji kuwa ilikuwaje anidanganye kuwa anaenda msibani kumbe si kweli.
Akaniambia kuwa ameenda ila akapotea na wakati anarudi ndo amekutana na jamaa ambaye alikuwa anamtongoza na kuongozana kwenda kwake ila akaniambia kuwa hawakufanya mapenzi.
Sasa nimeshindwa kuamini kuwa kweli hawakufanya na na je mwanamke kama huyu anastahili msamaha hata kama kweli hakucheat?
Pls nisaidieni
Mh!
 
potezea kaka kuchapiwa ni siri ya ndani walishasemaga wazee wa zamani.

Sahau hayo ni mapito tu focus na mambo ya maana, muonye mkeo aache mambo ya kijinga yanayo vunja heshima ya ndoa yenu.
Hongera sana kwa hii busara Mkuu,kuchapiwa kupo tu.
 
Habari zenu, Kwa kweli naomba mnipe ushauri maana ni siku ya tano sasa sili wala silali mpaka nimeamua kuja mbeli zenu mnipe Masada WENU
Maana naona sasa naenda kupata tatizo la moyo.

Kisa kiko hivi mm nimeoa Kwa ndoa kabsa na ndoa ina miaka 3, tumebahatika kupata mtoto mmoja, Mimi na mke hatukuwahi kuwa na ugomvi wowote mm na yeye.
Kila kitu nilijitahidi kumtimizia kadili ya uwezo, na baadae nikamfungulia Duka.
Sasa wiki moja nyuma nilipata safari ya ghafla
nikasafiri baada ya kusafiri nimekaa kama siku tatu mke wangu akaniambia kuwa kuna jirani kapata msiba akumuone.
Basi mm nikamruhusu aende baada ya kwenda masaa kama mawili napigiwa simu na jamaa yangu kuwa kamuona akiwa na jamaa wakiingia ndani Kwa jamaa.
Niliumia Sana kupata taarifa hizo ikabidi nigeuke Kesho yake na kumhoji kuwa ilikuwaje anidanganye kuwa anaenda msibani kumbe si kweli.
Akaniambia kuwa ameenda ila akapotea na wakati anarudi ndo amekutana na jamaa ambaye alikuwa anamtongoza na kuongozana kwenda kwake ila akaniambia kuwa hawakufanya mapenzi.
Sasa nimeshindwa kuamini kuwa kweli hawakufanya na na je mwanamke kama huyu anastahili msamaha hata kama kweli hakucheat?
Pls nisaidieni
Labda humkunagi vzr, huyo mkune nyuma, mbele, alivopata chansi kaona akakunwe vzr, nenda umpakie mkongo umkune sawasawa geuza na nyuma Kuna mpaka umtie majeraha pande zote, afu uone kama atakuja wahi kukusaliti Tena. Hapo ndo atajua Kuna mwanaume ndani

Sasa wewe legea uone wenzako ndo watamkuna mbele nyuma mpaka wamtie majeraha.
 
Pole sana mkuu kwa hiyo changamoto.

Binafsi sijaoa bado ila naelewa unacho kipitia. Usibishane na ukweli, kubali kwamba imetokea then Fanya maamuzi sahihi kwa ajili ya usalama wako na afya yako ya akili.

Too late kukwambia hili ila mapenzi ni kosa kubwa kuyachukulia serious kwa sababu lazima yatakudisappoint tu......

In my experience mtu akicheat mara Moja huwa hawezi kuacha hususani kwa mwanamke.

Usiendeshwe na mihemko, relax kisha amua ambacho utaona ni sahihi kwako.

Ushajua kwamba amekucheat so hapo ni wewe na maamuzi ya kukomaa naye ukamkalisha chini na kuzungumza naye kama upo tayari kuvumilia ama kila mtu kuangalia ustaarabu mwingine....

Jambo ambalo nina uhakika nalo ni kwamba mwanamke akicheat huwa hawezi kuacha... Ni ngumu sana...

Hamishia hasira kutafuta pesa mkuu...
Mleta mada ishi hapa.
 
Habari zenu, Kwa kweli naomba mnipe ushauri maana ni siku ya tano sasa sili wala silali mpaka nimeamua kuja mbeli zenu mnipe Masada WENU
Maana naona sasa naenda kupata tatizo la moyo.

Kisa kiko hivi mm nimeoa Kwa ndoa kabsa na ndoa ina miaka 3, tumebahatika kupata mtoto mmoja, Mimi na mke hatukuwahi kuwa na ugomvi wowote mm na yeye.
Kila kitu nilijitahidi kumtimizia kadili ya uwezo, na baadae nikamfungulia Duka.
Sasa wiki moja nyuma nilipata safari ya ghafla
nikasafiri baada ya kusafiri nimekaa kama siku tatu mke wangu akaniambia kuwa kuna jirani kapata msiba akumuone.
Basi mm nikamruhusu aende baada ya kwenda masaa kama mawili napigiwa simu na jamaa yangu kuwa kamuona akiwa na jamaa wakiingia ndani Kwa jamaa.
Niliumia Sana kupata taarifa hizo ikabidi nigeuke Kesho yake na kumhoji kuwa ilikuwaje anidanganye kuwa anaenda msibani kumbe si kweli.
Akaniambia kuwa ameenda ila akapotea na wakati anarudi ndo amekutana na jamaa ambaye alikuwa anamtongoza na kuongozana kwenda kwake ila akaniambia kuwa hawakufanya mapenzi.
Sasa nimeshindwa kuamini kuwa kweli hawakufanya na na je mwanamke kama huyu anastahili msamaha hata kama kweli hakucheat?
Pls nisaidieni
Jamaa anayemtongoza, akaongozana naye kwenda kwake, ila hawakufanya mapenzi....
Nimecheka sana
 
Huyo mkeo si kweli kwamba hakuliwa, jamaa amepiga siku nzima japo unaonekana ni kama umeelewa utetezi wa mkeo kuwa alipotea alipokuwa anaenda msibani ndo akakutana na jamaa.

Hiyo alidhamiria kabisa kwenda kupakatwa chukua tu maamuzi unayoona yatakupa furaha ya moyo pia jamaa aliyekutonya mtunzie siri usithubutu kumtaja hata kama utakuwa umefurahishwa vipi na mkeo. Ni watu wachache sana wanaoweza kukupa siri kama hizo so muhimu ni kumlinda sana jamaa juu ya kujulikana na mkeo.
 
Funga duka tafuta mfanya kazi pisi Kali kumzidi mkeo mwajiri dukani halafu punguza kuwepo home sana, safari saa 12 asubui kurudi saa nne usiku. usiombe mbususu yake akiikupa Kwa lazima tumia Kinga... Tumia kanunu ya "Nyoka akiingia shimoni mwaga maji ya moto"
 
Habari zenu, Kwa kweli naomba mnipe ushauri maana ni siku ya tano sasa sili wala silali mpaka nimeamua kuja mbeli zenu mnipe Masada WENU
Maana naona sasa naenda kupata tatizo la moyo.

Kisa kiko hivi mm nimeoa Kwa ndoa kabsa na ndoa ina miaka 3, tumebahatika kupata mtoto mmoja, Mimi na mke hatukuwahi kuwa na ugomvi wowote mm na yeye.
Kila kitu nilijitahidi kumtimizia kadili ya uwezo, na baadae nikamfungulia Duka.
Sasa wiki moja nyuma nilipata safari ya ghafla
nikasafiri baada ya kusafiri nimekaa kama siku tatu mke wangu akaniambia kuwa kuna jirani kapata msiba akumuone.
Basi mm nikamruhusu aende baada ya kwenda masaa kama mawili napigiwa simu na jamaa yangu kuwa kamuona akiwa na jamaa wakiingia ndani Kwa jamaa.
Niliumia Sana kupata taarifa hizo ikabidi nigeuke Kesho yake na kumhoji kuwa ilikuwaje anidanganye kuwa anaenda msibani kumbe si kweli.
Akaniambia kuwa ameenda ila akapotea na wakati anarudi ndo amekutana na jamaa ambaye alikuwa anamtongoza na kuongozana kwenda kwake ila akaniambia kuwa hawakufanya mapenzi.
Sasa nimeshindwa kuamini kuwa kweli hawakufanya na na je mwanamke kama huyu anastahili msamaha hata kama kweli hakucheat?
Pls nisaidieni
Kama umekubali hàjatombwa ubàtafuta nini tena humu jf?
 
Jambo zito sana hili
Fimbo ya mbali haiui nyoka,
Kama unaona linakulemea shirikisha watu wa karibu zaidi kwako mfano wazazi, wakwe, ndugu na viongozi wa dini yako wa karibu
 
Back
Top Bottom