Naombeni ushauri kabla hili halijaniua

Kama hujaona potezea. ila kama kuna redflags zingine mfano disrespectful huwa unaziona na unaweza piga chini
 
Kataa ndoa vinachukua pointi tena! Tumepigwa 3-0 tena!
 
Comment za gen z ndo kama ivo

Lakin ukishatoka hii stage , utaishi na mwanamke mzinzi tena kwa upendo wa kutisha
 
 
Kaza roho, ktk classification tyari umepata kundi sahihi la kumweka mkeo, inauma lakin huo ndo uhalisia.

Kumbuka ndoa nyingi unazoziona zipo sababu kubwa ikiwa ni kulea watoto tu

Mtoto anaporudi ktoka shule, awepo wa kumpokea na kumpatia uji nk...we si wa kwanza na si wa mwisho ukitaka ku prove zaid ili usiwe na shaka chukua sim ya mkeo kwa surprise kaa nayo siku nzima, utakutana na message za jamaa akishukuru kwa kupewa penzi,

Angalizo ushauri wa mambo kama haya usitafute kwa GEN Z, watakupotezea mwelekeo na kujikuta unakufa kabla ya kufaidi ulimwengu.
 
Pole Sana mkuu .
 
Sasa nimeshindwa kuamini kuwa kweli hawakufanya na na je mwanamke kama huyu anastahili msamaha hata kama kweli hakucheat?
Pls nisaidieni
Oyaaa vunga kwani ikipigwa mara moja ina hasara gani wewe vunga fanya km hakuna kilichotokea kwa kufidia machungu mzalishe mfululizo bila kupumzika zipaki injini km 4 hivi akili itamkaa sawa
 
Mpe au jipe likizo ya kua mbali nae kwa muda.
Mtakerana mtiane mabisu huko ndani.

Kama unaona akili yako haiko sawa juu ya hilo tukio jipeni likizo.
 
Ni kweli hawakufanya kitu!, walipiga story tu maana nilikuwepo, hivyo Kuwa na aman.
 
Hivi wewe demu uliyekuwa unamtongoz unamuita guest na anakuja, unawez kumuacha. Hapo ni aidha unampenda sana huyo mwanamke kupita kiasi au unamuogopa, ndio maana huwezi kufanya maamuzi
Wewe ni dhaifu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…