Naombeni ushauri kuhusu hiki nachosomea

Kila kitu nia malengo na subra unajua so kila anaesoma atapata kaz na so kila aliekuwa na kaz amesoma maisha ni vile mwenyw utakavyoamua kuishi we km umeamua kusomea kombi hyo basi ipoganie hyo hyo ujui ni wap utakuja kutoboa bado ni kijana na umri wako unastaili kabisa uwo ishu kubwa cheza na akil yako pambania unachokitaj so kitu cha tofaut na hko ambo kinawrz kikakupeleka njia ambayo si sahih

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe na wewe umepiga hii medical lab...
Na si wa biotechnology and medical y je tusemeje ahahahaha nyie maisha haya
Biotechnology sio unyama kabisa..mi naangalia namna naweza kwenda ughaibuni bongo tunarogwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…