Naombeni ushauri kuhusu hiki nachosomea

Naombeni ushauri kuhusu hiki nachosomea

Mimi kijana umri miaka 22,

Nipo chuo mwaka wa pili, nasoma shahada ya kwanza ya ualimu sayansi biology na geography.

Naomba ushauri kwa umri huu, na Hali ya ajira ya taifa letu ni fanye mambo yapi na nizingatie nini ili niweze kufika hatima bora ya maisha yangu na familia Yangu kwa ujumla.





Karibuni waku
Kila kitu nia malengo na subra unajua so kila anaesoma atapata kaz na so kila aliekuwa na kaz amesoma maisha ni vile mwenyw utakavyoamua kuishi we km umeamua kusomea kombi hyo basi ipoganie hyo hyo ujui ni wap utakuja kutoboa bado ni kijana na umri wako unastaili kabisa uwo ishu kubwa cheza na akil yako pambania unachokitaj so kitu cha tofaut na hko ambo kinawrz kikakupeleka njia ambayo si sahih

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe na wewe umepiga hii medical lab...
Na si wa biotechnology and medical y je tusemeje ahahahaha nyie maisha haya
Biotechnology sio unyama kabisa..mi naangalia namna naweza kwenda ughaibuni bongo tunarogwa sana
 
Back
Top Bottom