mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
Sawa we olewa ya serikali siku utasikia kaoa msabato mwenzie ya kanisani wewe unabaki mchepuko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa mojawapo ya mke ni kumtii mume wake,naona kabisa huyo mume wako atapata shida unapata wapii nguvu ya kutaka kumbishia hata kabla hajakuoa,,,,kikawaidaa mwanamke anatakiwa kufuata dini ya mume wake masuala ya kusemaa kila mtu afuate dini yake ni Upumbavu na huyo mwanaume atakuwa mjingaa,,,,Kama huwezii kuwa msabato basii achana nae na utakuwa bado hujafikia umri wa BORA MWANAUME YEYOTE ANAEPUMUA isitoshee wote ni wakristo sijaona ugumu uko wapii au ni ubishii wako tuu wa kutaka kumpangia mwanaume chakufanyaa,wasichana wa siku hizii mmekuwa wajinga wajinga tuu msiojielewaa huku mkijifanya mnajuaa saana halafu baadaye uje uanzee kulia unatafuta mwanaume wa kukuoa,,Habari zenu wapendwa.
Mimi ni binti wa miaka 24. Niko kwenye mahusiano na mchumba wangu ni miaka 6 Sasa tunaenda na ninampenda Sana mwanaume wangu.
Shida ya kuja hapa naombeni ushauri anataka kunioa ila changamoto inakuja upande wa dhehebu kwenye kubadili mimi napata ukakasi sana sijui kwanini, mimi ni mkatoliki pure na yeye ni msabato pure(kurya) mm sijawai dharau Imani yake ni vile tu nimelelewa kwenye misingi ya dini yangu. Anachotaka yeye ni ndoa ya kanisani na mm napata ugumu kubadili.
Nimejaribu kumshauri tufunge ya Serikali na watoto watakufata yeye lkn hatqki anataka ya kanisani. Mimi moyo wangu umekuwa mzito sijui kwanini na najiona sina amani kwenye huu uamuzi ambao nitafanya kumridhisha yeye sababu nampenda.
Nifanyeje🥺
Kwani kuna utaratibu tofauti wa ufungaji wa ndoa ukiwa dhehebu tofauti na mwenzio?Habari zenu wapendwa.
Mimi ni binti wa miaka 24. Niko kwenye mahusiano na mchumba wangu ni miaka 6 Sasa tunaenda na ninampenda Sana mwanaume wangu.
Shida ya kuja hapa naombeni ushauri anataka kunioa ila changamoto inakuja upande wa dhehebu kwenye kubadili mimi napata ukakasi sana sijui kwanini, mimi ni mkatoliki pure na yeye ni msabato pure(kurya) mm sijawai dharau Imani yake ni vile tu nimelelewa kwenye misingi ya dini yangu. Anachotaka yeye ni ndoa ya kanisani na mm napata ugumu kubadili.
Nimejaribu kumshauri tufunge ya Serikali na watoto watakufata yeye lkn hatqki anataka ya kanisani. Mimi moyo wangu umekuwa mzito sijui kwanini na najiona sina amani kwenye huu uamuzi ambao nitafanya kumridhisha yeye sababu nampenda.
Nifanyeje[emoji3064]