Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 3,979
- 5,146
Wasabato ni wabishi sana aysee,yani wabishi mnoo! Kuna jamaa yangu alikuwa na demu msabato,kipindi cha uchumba jamaa alimpa maisha sana yule demu mixer kumnunulia gari tena 2,akamfungulia mini market plus saluni za kike 2 mjini daslam hapo! Mwana akamalizia mjengo wake Geza kule fresh! Na wakati anafanya yote hayo washua wake na yule demu walikuwa wanaona na wanakenua meno tu! Kimbembe sasa jamaa akataka kuweka ndani mazima,washua na bandugu wengine wakawasha moto hatari 🔥 kwamba jamaa abadili dini,na jamaa ni RC pure mixer muhaya(kivumbi hapo) in the end ikashindikanika aysee!! Washua na bandugu wakamuamuru demu arudishe mali za jamaa,jamaa alichukua mandinga tu mini market na saluni alimuachia demu! Demu keshajaribu kujiua mara kibaoo wanamuokoa(na yeye sijui kwanini hakuwaza kubeba mimba ya mchizi) basi ndo ikaishaga hivyo,demu anawalaumu washua mpaka kesho yani! Jamaa aka move on na pisi nyingine japo hilo jambo lili mu affect sana mchizi na tulishangazwa sana na misimamo ya wale watu wasabato!! Ni watu wa ajabu sana aysee,ni kama sio wakristo vile!Nimeshaongea nae kila kitu na kwa namna niwezavyo lkn hataki..afu kinachonishàgaza sio ata mtu wa kanisani enda yake ya Mara moja au mbili kwa mwaka..Ila tu nyumban kwao baba yake ni mchungaji wa kanisa nahisi ndo Mana inakuwa hivi
(Moral of the story) bibie usitegemee huyo mkurya wa kisabato aka change maamuzi! Never on earth
Adios