Naombeni ushauri kuhusu kubadili dhehebu ili kufunga ndoa

Naombeni ushauri kuhusu kubadili dhehebu ili kufunga ndoa

Mbona wote ni dini moja,..angekuwa Muislam ungekubali ndoa ya Serikali?
Wasabato maadui wao wakubwa ni katoliki utawasikia wakisema babeli chukizo la mataifa ni katoliki. mara siku ya jumapili ni kile kikombe cha ghadhabu, mara yule mnyama wenye pembe na blabla nyingi, bora waislamu kwa sabato kuliko katoliki.
 
Rc hamna ndoa ya mseto Kati ya mkatoliki na msabato... Ipo Kati ya Rc na KKT, Rc na Moravian, Rc na Anglican... Lkn yy hataki anataka nifate vile anavyotaka yy
Basi kataa ndoa....🤨
 
Huyo Kristu unamfahamu kupitia mafundisho uliyoyapata kanisani! Acha ujinga hauwezi kusema upate elimu bila shule.
Wewe wasema. Usiishi kwa kukariri maisha uliyoishi wewe kwamba ndio kila mtu kaishi hivyo hivyo.
Kwa taarifa yako,Kristo nimemfahamu kwa uhalisia wake kupitia namna anavyojidhihirisha kwenye maisha yangu. Sina Yesu wakusimuliwa. Nina Yesu wa kumshuhudia.Sema jingine!
 
Habari zenu wapendwa.

Mimi ni binti wa miaka 24. Niko kwenye mahusiano na mchumba wangu ni miaka 6 Sasa tunaenda na ninampenda Sana mwanaume wangu.

Shida ya kuja hapa naombeni ushauri anataka kunioa ila changamoto inakuja upande wa dhehebu kwenye kubadili mimi napata ukakasi sana sijui kwanini, mimi ni mkatoliki pure na yeye ni msabato pure(kurya) mm sijawai dharau Imani yake ni vile tu nimelelewa kwenye misingi ya dini yangu. Anachotaka yeye ni ndoa ya kanisani na mm napata ugumu kubadili.

Nimejaribu kumshauri tufunge ya Serikali na watoto watakufata yeye lkn hatqki anataka ya kanisani. Mimi moyo wangu umekuwa mzito sijui kwanini na najiona sina amani kwenye huu uamuzi ambao nitafanya kumridhisha yeye sababu nampenda.

Nifanyeje🥺
Mbona ulianza uzinzi mapema sana...... Ashakugegeda sana na amekuona hufai now.... Dini haiwezi kuwa kigezo cha kutodunga ndoa
 
Habari zenu wapendwa.

Mimi ni binti wa miaka 24. Niko kwenye mahusiano na mchumba wangu ni miaka 6 Sasa tunaenda na ninampenda Sana mwanaume wangu.

Shida ya kuja hapa naombeni ushauri anataka kunioa ila changamoto inakuja upande wa dhehebu kwenye kubadili mimi napata ukakasi sana sijui kwanini, mimi ni mkatoliki pure na yeye ni msabato pure(kurya) mm sijawai dharau Imani yake ni vile tu nimelelewa kwenye misingi ya dini yangu. Anachotaka yeye ni ndoa ya kanisani na mm napata ugumu kubadili.

Nimejaribu kumshauri tufunge ya Serikali na watoto watakufata yeye lkn hatqki anataka ya kanisani. Mimi moyo wangu umekuwa mzito sijui kwanini na najiona sina amani kwenye huu uamuzi ambao nitafanya kumridhisha yeye sababu nampenda.

Nifanyeje🥺
Ndoa! Ndoa! Maamuzi magum yatakufikisha mbali funga ndoa , afu upambane kumshep mmeo , utakua unaenda katolik mara moja moja😁
 
Wasabato wapo vizuri sana kwenye maadili!

kila la kheri!
 
Ndo icho kitu pia mm nataka lkn naona mwenzangu hataki na ndio mana nataka makubaliano mapema ili badae asije niona nimekengeuka
Kwanini akatae wakati kila mtu ana uhuru wa kuabudu anakotaka kufunga ndoa pamoja hakumuondolei mtu haki ya kuacha vitu anavyovipenda ! na misingi iliyomkuza! Kikubwa upendo na tabia njema !!
Hebu mzuie kuangalia mpira au aache kunywa bia uone ilivyo ngumu.

Una haki ya kuamua ,ndoa ni pamoja na kusikiliza maoni ya mwenzako na kujali hisia zake anapaswa akusikilize.

Na hawa wenzetu wasabato wakiamua lao 😂😂😂 hapa jiandae kunyoa na nywele na uwe nachuro , na kujiremba utapigwa marufuku na soda nyeusi ni mbaya na vijeans vyako gawia mdogo wako Gireee welcome aboard (natania😂)

Hapa akiona pisi yake iko RC wakati huko washaambiwa huyo ndo mnyama wa kwenye Daniel.
Muelekeze vizuri mjori wa Bwana ataelewa.

Maranatha
 
Msabato hana tofauti sana na mwisilamu linapokuja kwenye imani ukitaka kujua hawana tofauti ingia nae humo anavyotaka yeye utajuta ila utakuwa umechelewa!!!.
 
Back
Top Bottom