Naombeni ushauri kuhusu kuoa

Naombeni ushauri kuhusu kuoa

Mkuu zingatia hilo

Kama anajua nyimbo nyingi za bongofleva afu wewe hujui basi acha.

Kama haendi kanisani au msikitini bila fulani acha.

Karibu kwenye chama kubwa.
Aiseee kweli mambo ni magumuuu
 
Mwangalie Ronaldo na wengine, inatakiwa mkae kwenye uchumba muda mrefu na mzae kabisa.
Siunajua ukioa unaoa familia yote na matatizo yao yote, akiwa mchumba tu anakua na heshima kidogo.
Hawa wanawake wa sasa sidhan kama wataweza kukaa miaka mingi ktk uchumba
 
Oa mwanamke anayemjua Mungu, anayethamini kusali si kwa mkumbo bali kwa kutoka moyoni mwake, hakikisha na wewe ni mtu wa ibada na nyote muwe kweli na hofu ya Mungu.
Kuoa ni kustaafu kujiangalia wewe, unaanza kuandaa waangalizi na warithi wako, haijalishi uliyemuoa mnaelewana au hamuelewani, chukulia hiyo ni jitihada ya shetani kutimiza mipango yake, usimpe nafasi ya kukuvuruga ukawanyima mwanga watoto wako.
Falsafa hii ni muhimu kuizingatia ili iwapo furaha kati yako na mkeo ikipungua ujue hiyo dhana ndio msingi mkuu unaopaswa kuhakikisha hauupotezi.
Usimchokoze mkeo kwa kumchanganyia mwanamke mwingine, Mungu ataondoa mkono wake ktk safari yako ya ndoa, utahangaika sana kustawisha familia yako.
Oa ukijua tabia za mkeo zitabadilika, kupunguza tatizo hilo mfundishe mapema unachopenda na usichopenda,
Kuwa mtawala mwenye hekima anayependa familia yake,

Mpe dozi mkeo ya dakika zisizopungua 10 hai 20 au zaidi kwa vyovyote isiwe chini ya dk 7, jifunze kwake anachofurahia kny tendo, ongea nae kiudadisi japo wana aibu.
Ili umtawale zaidi hakikisha akikukosea na ugomvi haujaisha hadi mnaingia kulala kamgombeze kwa kumpa dozi, story huwa zinabadilika kuanzia hapo.
Ndugu zako na wake, marafiki
na watu wengine, hawana nafasi ya kuyumbisha ndoa yako, wasikilize lkn usiwazingatie.
Maisha ya ndoa ni ulimwengu mwingine kabisa ambao ni maisha ya kuunda taifa, kwa namna yoyote kadri unavyoendelea utajua utumie njia gani kuhakikisha unawafikisha watoto wako mahala wanaweza kujitegemea bila kuonesha kuwa eewe ni muhimu kuliko mama yao, hata km mama yao ana matatizo wao watajua na wataipa kipimo hekima yako.

Zingatia:
Sala na ibada ndio mhimili mkuu wa ndoa yako. Tafuta amani na mkeo wakati wote, anaweza kukuona wewe ni kama mtoto, na wewe mchukulie hivyohivyo bila kumwonyesha waziwazi, usimdharau.

Kwa uchache, naweza kusema hayo.
 
Ndugu wana JamiiForums ninapenda kuomba ushauri hivi nikitaka kuoa nizingatie sifa zipi (characteristics)

Kwasababu hivi sasa hakuna ndoa imekuwa ni complex organization ambayo inaundwa na vipengele vidogo vidogo vingi.

Unaweza oa kwa kuangalia hiki, then mkashindwana kwa kile.

Hivyo basi, mwenye anaona certain characteristics ndio excellent kwenye ndoa anieleze kidogo ili nijue kama ni kabila, rangi ya ngozi, shepu n.k
Kwanza wewe dini gani?
 
Hawa wanawake wa sasa sidhan kama wataweza kukaa miaka mingi ktk uchumba

Kama una hela na status wanakaa kwenye uchumba miaka na miaka maana hata akiondoka ni ngumu kuku replace

Messi amekaa na uchumba miaka zaidi ya 10. Kazaa watoto watatu kwenye uchumba.. miaka michache iliyopita ndio akafunga ndoa na mama watoto wake.

Ronaldo na yeye hivyo hivyo ni uchumba tu
 
Mkuu zingatia hilo

Kama anajua nyimbo nyingi za bongofleva afu wewe hujui basi acha.

Kama haendi kanisani au msikitini bila fulani acha.

Karibu kwenye chama kubwa.
Hii namba 2 alikuwa anafanya mpenz wangu alikuwa anaenda kanisani siku za nyuma ikafika muda akapunguza tena baada ya muda akaanza kwenda yan unaweza ona hata kama jana alikuwa na ratiba zingine naona anapanga gafla anaenda kanisan had najiuliza vp shetan ndo kamuachia now au me ndo shetan 😀 nilivyokuja kugundua alikuwa kumbe akiwasiliana na mshikaji ndo anaenda nae asipoenda nae haend nkaamua tu kumfanya awe mpenzi wetu 😀
 
Ndugu wana JamiiForums ninapenda kuomba ushauri hivi nikitaka kuoa nizingatie sifa zipi (characteristics)

Kwasababu hivi sasa hakuna ndoa imekuwa ni complex organization ambayo inaundwa na vipengele vidogo vidogo vingi.

Unaweza oa kwa kuangalia hiki, then mkashindwana kwa kile.

Hivyo basi, mwenye anaona certain characteristics ndio excellent kwenye ndoa anieleze kidogo ili nijue kama ni kabila, rangi ya ngozi, shepu n.k

"Unaweza oa kwa kuangalia hiki, then mkashindwana kwa kile"

Shida yako ni mitazamo mibovu na kusikiliza watu waovu, vyema kuwa makini kuoa, ila ndoa ina mema mengi sana.

Kama hujao, umeyajuaje haya "Unaweza oa kwa kuangalia hiki, then mkashindwana kwa kile"
 
Kuoa sio lelemama hasa sisi ambao tupo ndani ya ndoa unasema na kujiuliza why i choose this woman to be my wife [emoji3531] forever as long tuna watoto unaendelea tu kuvuta muda children wakue CHAGUA MTU SAHIHI
Kwa macho na akili vinaweza kushirikiana vikamuona mtu yuko sahihi kulingana na maigizo kabla ya ndoa ila uhalisia sio sahihi
 
Hii namba 2 alikuwa anafanya mpenz wangu alikuwa anaenda kanisani siku za nyuma ikafika muda akapunguza tena baada ya muda akaanza kwenda yan unaweza ona hata kama jana alikuwa na ratiba zingine naona anapanga gafla anaenda kanisan had najiuliza vp shetan ndo kamuachia now au me ndo shetan 😀 nilivyokuja kugundua alikuwa kumbe akiwasiliana na mshikaji ndo anaenda nae asipoenda nae haend nkaamua tu kumfanya awe mpenzi wetu 😀
Duuh wanawake ni balaa
 
Unatafuta ushauri wa ndoa kwa walioshindwa ndoa zao 😀😀 haya bhn au ndo ile kushindwa ni funzo bado unatafta ushauri kwa hizi team KATAA NDOA sawa ngoja inyeshe tuone panapovuja
 
Kwani ww ni mtu wa aina gani , lazima ujijue ww kwanza NDIPO utapata sifa za unayemhitaji

Anayenifaa Mimi sio yule anayekufaa ww.

Ndoa ni hesabu.

Je, ukimuonya anaonyeka? Au ndo anapandisha mabega na kukuacha ukiongea peke Ako?

Je, Nature yake ni mtu anayejari?

Kuna vitu vingi vya kuangalia

Ila katika vigezo vyote zingatia kigezo Cha urahisi wa ndugu zako kuwafikia wakwe zako wakati wa kupeleka mahali
 
Back
Top Bottom