Naombeni ushauri kuhusu nyumba yangu niliyoijenga Maramba Mawili

Mbona mnasema ni Chai au wivu unawasumbua....πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒyani mtafanya watu washindwe kuleta vitu muwashauri...
My dear.
Sidhani kama wana wivu.
Mungu ana njia nyingi za kutukumbusha tusichukulie poa baraka alizotubariki.
Hivi unadhani mwenzio ambae kodi ya chumba cha giza inamsumbua ni rahisi kuamini kuwa inawezekana kuna na nyumba hadi nyingine unawaps watu wakae tu?
Sasa unapoona vitu unavyoona ni vya kawaida hadi unakosa usingizi kutafuta unavyodhani ni vikubwa ndo Mungu analeta watu kama hawa wasioamini kuwa ni rahisi vitu hivyo kupatikana ili umrudishie utukufu wake.
 
Ni kweli mkuu.
Sijalogwa mkuu ila mara nyingi natingwa na mishe zangu ninazozitegemea zaidi.
Hizo nyumba ni style yangu yakuhifadhi pesa.Pesa ikikaa kwenye nyumba inaongezeka thamani ila bank inashuka.
 
Kwanini hujui bei ya kuuzia..gharama zako za ujenzi maana yake huzijui pia?!
 
Kwanini hujui bei ya kuuzia..gharama zako za ujenzi maana yake huzijui pia
 
Kwanini hujui bei ya kuuzia..gharama zako za ujenzi maana yake huzijui pia?!
Gharama za almost 10 yrs ago za ujenzi zitafanana na za leo kweli mkuu.
?
 
Sawa mkuu.
Ila ina maana nikiifanya mpya hata 350K sipati?
Hapana uwezi pata mzee labda iwe karibu na Morogoro road yani mpangaji asitoe nauli zaid ya 500 kufika home, we kama umebakiza space toa vyumba kadhaa master upate 60k, location matter iyo bei ni ya sinza
 
Okay ila many years ago walipatikana wapangaji w 350K kwa mwezi so ukisema hivyo unamaanisha thamani ya nyumba za kupanga imeshuka
 
Kama nikweli uwe makini ,unaweza tapeliwa huo uvivu kwenda kwenye nyumba yako sio bahati mbaya muwe mnaangalia na makabila mnayopangisha
 
Kama nikweli uwe makini ,unaweza tapeliwa huo uvivu kwenda kwenye nyumba yako sio bahati mbaya muwe mnaangalia na makabila mnayopangisha
Yaani acha.
Nimekua na uvivu wa kizembr sana hakika inabidi nichukue hatua
 
Usinambie wewe ni jirani yangu bestie

Iko maeneo karibu na kituo kinaitwa MAKUTI
Karibia na Kwa Osama,ingekua kipindi kile cha kikwete kabla Mambo hayajaharibika,Kodi ungekula Ata laki tano Kwa mwenzi,
Ila Kwa Sasa pandisha Kodi kidogo apo kwenye laki tatu sio mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…