Naombeni ushauri kumuokoa rafiki yangu, Huu ukarimu wa baba mwenye nyumba umepitiliza, nahisi kamzalisha mke wa rafiki.

Naombeni ushauri kumuokoa rafiki yangu, Huu ukarimu wa baba mwenye nyumba umepitiliza, nahisi kamzalisha mke wa rafiki.

Kwani ukisema ni wewe ndio mpangaji kuna shida gani mpaka umsingizie rafiki yako?
 
Mwangu utakoma umechapiwa mke na mwenye nyumba hahaha jipange mzee kulea damu ya mwingine hahaha ni maisha tu bro usikate tamaa🤣🤣🤣
 
Mwambie jamaa asilipe Kodi ikiisha ili uone Hilo mosi

Ukiweza mwiten sebuleni mzee mwenyenyumba mkewenu mkae pamoja sebuleni mpige stori zasimba na yanga ...wewe uwe busy kupiga stori na kuangalia movement za macho mzee mwenyenyumba na shemeji ...fanya uwezavyo wasijue unawatazama .......

Lamwisho ukiharibu ndoa hiyo hakikisha dada ako anaolewa kwajamaa
 
View attachment 2414420

Nahisi baba mwenye nyumba yupo hatua 5 mbele zaidi kuliko rafiki yangu.

Ipo hivi, rafiki yangu kapangisha kanyumba kadogo anaishi na mke wake, kwenye kiwanja kuna nyumba ndogo mbili, nyumba nyingine kuna mpangaji mwengine ila hua anasafiri sana.

sasa mke wa rafiki yangu alijifungua kama wiki 2 hivi zilizopita, miezi hii kumekuwa na shida kubwa sana ya maji, baba mwenye nyumba aliposikia mke wa rafiki kajifungua aliwapa hongera sana na aliahidi kuchimba kisima na kweli ahadi ikatekelezwa baada ya siku chache.

Katoa ofa watumie maji bure kwa miezi mitatu.

Rafiki yangu alifurahi sana lakini kwa upande wangu nimelitazama hili jambo kwa kina nimeliona tofauti,

Huku kujali kote nimeona kuna mchezo unafanyika huenda rafiki kageuzwa house boy wa kulea mtoto ambae si wake.

Ni vipi naweza kumu approach rafiki nimwambie kwamba mtoto anaweza asiwe wake ?

Ni vipi anaweza kuhakikisha mtoto ni wake bila mke wake kujua ?
Baba mwenyenyumba na wewe lenu moja.
Mwizi hushikwa na mwivi
 
Mambo ya umbea wafanye wanawake mwanaume na umbea wapi na wapi jamani

Basi uwe na uhakika kweli wamezaa sio unahisi tu sababu ya kuchimbiwa kisima mkuu
 
Itakuwa wewe ndo mchimba kisimaa .....isijekuwa kile Cha utelezii
 
Ckutizami kam mnafki na mchawi kam wachangiaji wengi watakavodai, lakn nakutizama kama jasusi. Ulichokosea hapa ni kuzungumza kabla ya kumaliza upelelezi.
 
Back
Top Bottom