Naombeni ushauri kumuokoa rafiki yangu, Huu ukarimu wa baba mwenye nyumba umepitiliza, nahisi kamzalisha mke wa rafiki.

Kwani ukisema ni wewe ndio mpangaji kuna shida gani mpaka umsingizie rafiki yako?
 
Mwangu utakoma umechapiwa mke na mwenye nyumba hahaha jipange mzee kulea damu ya mwingine hahaha ni maisha tu bro usikate tamaa🤣🤣🤣
 
Mwambie jamaa asilipe Kodi ikiisha ili uone Hilo mosi

Ukiweza mwiten sebuleni mzee mwenyenyumba mkewenu mkae pamoja sebuleni mpige stori zasimba na yanga ...wewe uwe busy kupiga stori na kuangalia movement za macho mzee mwenyenyumba na shemeji ...fanya uwezavyo wasijue unawatazama .......

Lamwisho ukiharibu ndoa hiyo hakikisha dada ako anaolewa kwajamaa
 
Baba mwenyenyumba na wewe lenu moja.
Mwizi hushikwa na mwivi
 
Mambo ya umbea wafanye wanawake mwanaume na umbea wapi na wapi jamani

Basi uwe na uhakika kweli wamezaa sio unahisi tu sababu ya kuchimbiwa kisima mkuu
 
We jamaa utakua na kichaa cha dogi si bure.
 
Itakuwa wewe ndo mchimba kisimaa .....isijekuwa kile Cha utelezii
 
Ckutizami kam mnafki na mchawi kam wachangiaji wengi watakavodai, lakn nakutizama kama jasusi. Ulichokosea hapa ni kuzungumza kabla ya kumaliza upelelezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…