Naombeni ushauri kumuokoa rafiki yangu, Huu ukarimu wa baba mwenye nyumba umepitiliza, nahisi kamzalisha mke wa rafiki.

Wivu tu Lione😅😅😅
 
Usiongee kitu usicho na uhakika nacho
 
Nashangaa maana mimi nimewachimbia kisima wapangaji wangu na wala siwachaji cho chote. Nilichowaambia walipie umeme (wajipange wenyewe).
 
Mwenye nyumba kafanya customer care/customer service.Kizabizabina weye umeanza uchonganishi!Leta ushahidi.
 
ukilima shamba la bwana kheri bila ruhusa yake basi mazao ni ya bwana kheri, acha kimbele mbele
 
Acha uchonganishi....
 
Hivi hauna kwako..?
 
Inaonesha Kuna sehemu panakuwasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…