Naombeni ushauri: Mama wa kambo anauza mali za baba

Unakumbuka usemi wa babu yenu lakini?

Ukianza kula nyama, hutaacha. Achanae kutengana, muungane muwe kitu kimoja ili mjemge familia yenu.

Mkae chini myange, ila mnavomdharau mama yenu na yeye anaona nyinyi hamna maana, ataziuza zote mpaka ziishe. Mkikaa mkatulia na kuyajenga naye hawezi zimaliza maana.

Mimi najua mali mnazo nyingi, hawez kuzimaliza, na muda wake sio mrefu, atawaachia za kuendelea kutesa. Mpaka wajukuu zenu
 
Kama unajiamini sana na hi jf utaumia peke hao wanao kupa likes hutawaona popote.
Kuteka na kuua wakosoaji kamwe haiwezi kuwa suluhisho la matatizo.
Je, Mapungufu ya mkataba wa bandari yataondoka endapo kama utaua wakosoaji??
 
Kwani harogeki?
 
Nijuavyo mm, Mali ya ukoo haiuzwi.

Wanaonunua wanaingizwa mkenge.
 
huyo mama yako wa kambo ni Mkojani wa meli kumi njia ya Mkokotoni inayo pitia Bububu?

kama nampata hivi!!!!

wewe ndie mjukuu wa mzee Mwakatanganyika Mzanaki aliyerudisha mali za ukoo kutoka kwa yule
binti mrembo na tajiri wa ukoo wa bepari Windsor?

nimekupata ovaaaaaaa!
 
Daa mkuu huyo mama yenu mzenji,basi mmeisha atauza kila kitu kisha atakimbilia kwaoo zenjiii[emoji23][emoji23]
 
Una maanisha Baba yako ni Magofuni na kaka zake baba yako walio hai ni Kiwembe na Mvinywi? na Mama yako wa Kambo ndio Huyu aliyeko sasa. wanaonunua Mali zenu ni pantoja na waarabu? Sasa fanya hivi hapo mama yako wa kambo na yeye anapelekwa pelekwa tu na hao ndgu za babako. Hizo mali zotauzwa tu labda umuue hyo ndgu mmoja yaan kiwembe. Bila kufa huyu mji wenu hautakaa utulie.
 
pia usisahau kama ni ardhi kuwekea caveat hizo nyumba/ardhi.

Kimbia kwa mwanasheria leo au kesho asubuhi. la sivyo.
Caveat ,hebu ieleze kwa urefu,unaweka vipi,na wapi,na inachukuwa mda gani kuwepo?Na inasaidi nini na vipi
 
Huwa Kuna kikao Cha familia Cha kutengua msimamizi wa mirathi.
Waone wanasheria

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…