Naombeni ushauri, Mke wangu ana mimba nyingine

Jifunze kutumia njia za uzazi wa mpango .
Either kwa kuzingatia tarehe zake za hatari .

Au pata sindano za uzazi wa mpango au vidonge

Kuhusu mwanao kwa umri huo sio shida kwa mkeo kubeba mimba ila nachoweza kukushauri ikiwa bibi wa mwanao ni mwelewa na ni mlezi aliye bora mpeleke mwanao ili ubaki na mkeo .

Ikiwa bibi yake sio mzuri kwenye malezi basi jitahidi kuwa karibu ili uonyeshe upendo kwa mwanao maana mama yake atakuwa katika transition period ili mtoto asije dhurika .

Asante.
Shukrani mkuu 🙏 Be blessed
 
Wewe jamaa unahitaji msaada wa kisaikolojia. Una kila dalili ya mtu mpweke mno.

Nahisi umegubikwa na wingu la jitimai kuhisi maisha yako hayana muelekeo kiasi cha kujaribu kuyapa thamani kwa kutafuta attention JF.

Kuwa makini usije ukajinyonga. Tafuta msaada wa tiba ya akili.
 
Inawezekana mkuu, nashukuru kwa ushauri wako, ubarikiwe 🙌🙏
 
Habari muda huu Wana Jf poleni na majukumu mbalimbali na ramdhani Kareem kwa ndugu zangu waislamu.

Juzi siku ya jumamosi mke wangu alianza kutapika uku akilalamika anajisikia uchovu,leo Imebidi nimpeleke hospital kwa ajili ya vipimo Mana Hali iliendelea vilevile.baada ya vipimo imegundulika ana mimba ya mwezi mmoja hiyo taarifa imenishtua Sana Ila nilivyomuangalia mama N yupo kawaida nahisi alishajigundua Hali yake tokea muda.

Njiani wakati tunarudi hakuna mtu aliomuongelesha mwezake.
kitu kinacho Nipa mawazo tuna mtoto mdogo ana mwaka na miezi 4 na mke wangu mimba ikifika miezi 5 ni kuumwa kila siku je mtoto atapata malezi Bora au nimpeleke kwa Bibi yake.

Niliona dalili kitu kidogo akikosea mtoto anamkaripia wakati hakuwa hivo nyuma.

naombeni Ushauri Wana Jamii forum.
Ushauri wa nn wakati mmefanya!?

Mmedunyana kizani afu unaomba ushauri upenuni
 
Ni hali ya kawaida Wala usiwe na mawazo sana kila kitu kitaenda sawa muhimu kuziangalia majukumu yenu vizuri
Baba kijacho Mo mp5
 
Sifa ya mwanaume majukumu, acha kujiliza kwani tulikuepo wakati unakojoa ubongo kwa raha zako, nyie ndo kina baba robati..
20230411_221107.jpg
 
Habari muda huu Wana Jf poleni na majukumu mbalimbali na ramdhani Kareem kwa ndugu zangu waislamu.

Juzi siku ya jumamosi mke wangu alianza kutapika uku akilalamika anajisikia uchovu,leo Imebidi nimpeleke hospital kwa ajili ya vipimo Mana Hali iliendelea vilevile.baada ya vipimo imegundulika ana mimba ya mwezi mmoja hiyo taarifa imenishtua Sana Ila nilivyomuangalia mama N yupo kawaida nahisi alishajigundua Hali yake tokea muda.

Njiani wakati tunarudi hakuna mtu aliomuongelesha mwezake.
kitu kinacho Nipa mawazo tuna mtoto mdogo ana mwaka na miezi 4 na mke wangu mimba ikifika miezi 5 ni kuumwa kila siku je mtoto atapata malezi Bora au nimpeleke kwa Bibi yake.

Niliona dalili kitu kidogo akikosea mtoto anamkaripia wakati hakuwa hivo nyuma.

naombeni Ushauri Wana Jamii forum.
Lea, mimba, mtoto na mkeo Acha kulialia mtoto wa kiume.
 
Muone daktari wa afya ya akili, inaonekana haupo sawa, mara uage, mara ulete story yako ya kuhisiwa jambazi, mara mimba, mara mtoto wa jirani yani kila kitu ni wewe. We ni mtu wa namna gani?
 
Ni mtu mwenye Mambo mengi
 
Back
Top Bottom