Nexltshahda
JF-Expert Member
- Jun 1, 2026
- 405
- 820
Mimi ni baba mwenye familia ya mtoto mmoja, umri miaka miwili lakini mtoto huyu amekua apitia changamoto ya kutapika saa zingine analala zaidi ya masaa 4 hajaamka, na muda mwingine ananguka kifafa sio kifafa sijui ndiyo degedege mwenzenu hata sielewi.
Naombeni ushauri na tiba maana zahanati nimeenda napewa dawa za malaria. Kwa wenye familia na msiokua na familia naombeni ushauri wenu.
Naombeni ushauri na tiba maana zahanati nimeenda napewa dawa za malaria. Kwa wenye familia na msiokua na familia naombeni ushauri wenu.