Naombeni ushauri, mtoto wangu ana tapika na kuanguka

Mimi ni baba mwenye familia ya mtoto mmoja, umri miaka miwili lakini mtoto huyu amekua apitia changamoto ya kutapika saa zingine analala zaidi ya masaa 4 hajaamka, na muda mwingine ananguka kifafa sio kifafa sijui ndiyo degedege mwenzenu hata sielewi.

Naombeni ushauri na tiba maana zahanati nimeenda napewa dawa za malaria. Kwa wenye familia na msiokua na familia naombeni ushauri wenu.
Pole sana mkuu Hizi zinaweza kuhusiana na mambo mbalimbali kama maambukizi makubwa, matatizo ya ubongo, kiwango cha sukari kushuka, matatizo ya mfumo wa neva, au sababu nyingine zinazohitaji daktari kumchunguza vizuri. Haiwezekani kujua chanzo au kutoa tiba sahihi bila uchunguzi.
Ushauri wangu mpeleke hospitali ya wilaya ,mkoa au rufaa akafanyiwe vipimo
 
Pole bro. Mpeleke hos kubwa hata ikiwezekana ya private achana na hizi hos za serikali ndugu yangu tafuta inayotumia kadi then umpeleke dogo huko. Au wasiliana na watu wa kwenu kama kuna madawa ya kienyeji umpeleke anywe atayatapika. Au tafuta kuku wa kienyeji mchanga asiwe jogoo aliyekomaa awe tu labda kafatiwa mara mbili yani wa kati sio kifaranga na sio alokomaa mchinje yaan kile kijogoo hakijaanza kuwika na kuanza tabia mbaya kinga damu yake make sure isigande you can put some chumvi kidogo then mchemshe huyo kuku bila kuweka chochote ndani awe ni kuku tu na maji ukipata hiyo supu mix with that damu umpe anywe na nyama kias after 5to6 days fanya hivyo tena kuna some changes utaona. Usichemshie jiko la gesi tumia la mkaa. Ningelikua karibu ningelikwambia tutumie mbuzi coz kuna baadh ya viungo vinafaa kwa ajili ya hilo zoezi. 2yrs kama ni hayo maji alikunywa kweli hiyo supu na damu inayeyusha. Msione masai wanakunywa damu mkawacheka bure they know whats in that blood.
 
Pole kwa changamoto mkuu.
Get well soon dogo.
Kazi ni kipimo cha utu
 
MKuu hizo solution za dawa za asili mnajua tatzo ni nini? Au apige ramli tu?

Ngoja siku dogo aanguke apasue bichwa damu ichanganyike na ubongo ndio ataelewa hiyo degedege sijui kifafa sio poa....

Akimbie hospitali mwendo wa ngiri mkia juu
 
1781084403725.jpeg

Uza Hawa Kuku Haraka Sana,,,Umpeleke Ankali Wangu Hospitali....​
 
MKuu hizo solution za dawa za asili mnajua tatzo ni nini? Au apige ramli tu?

Ngoja siku dogo aanguke apasue bichwa damu ichanganyike na ubongo ndio ataelewa hiyo degedege sijui kifafa sio poa....

Akimbie hospitali mwendo wa ngiri mkia juu
hata mimi nimesema akimbie hos kubwa au ulisoma nusu mkuu. Ok hilo sio dawa la kienyeji bali ni tiba japo kwa umri wako hutailewa coz moja kwa moja wazo lako limekutuma kwa matunguli. Bro hivi unajua hata sasa ivi wewe hapo ulipo ukajipeleka hos bila kuumwa lazima wakutungie ugonjwa na kabisa unajua upo sawa. Sijamwambia asiende hos kwan nilitanguliza kusema hos afu nkampa tiba nyingne bt if you are 29yrs and below huwezi ukaelewa nilichosema. Kuna mda unachukua point sehem na ukaitafsiri unavyotaka wewe lakin kumbe umeitafsiri unavyojua wewe na sio ilivyo.
 
Mkuu kwanza sijasema kienyeji. Nimesema asili. Angalia neno kwa neno na nimemaanisha kusema asili ili kuondoa dhana ya tunguli.

Kwa namna yoyote ile mtoa mada hataki kwenda hospitali anataka shortcut. Hivi mtoto unaambiwa kanywa maji ya uzazi mara malaria bado una muda wa kuja JF kurukaruka humu? Hao wauguzi wanamchanganya akili. Aende hospitali.

Then turudi kwako. Ndio mimi nishaenda hospitali na nikaambiwa sina ugonjwa.

Kwa nyongeza mimi sio under 29 msione wote walio mitandaoni ni gen z... Kama nimejiunga na JF 2010 ina maana nilijiunga below 18? Hebu chakata taarifa zako na next time jifunze kujadili mada na sio mtoa mada.
 
Achana na zama za kulea mtoto kwa kufuata comments

Tatizo la kiafya unajua sehemu linapoweza kutatulia ni
Either uende hospital zinazoeleweka tena zaid ya Moja ikishindkana hapo kawaone wazee kijijini
 
Back
Top Bottom