Nenda hospital ya wilaya kuna madactar bingwa watakusaidia tuJamani sijatia uzembe nimekuja kuuliza kama Kuna yeyote amewahi kupitia hii situation anipe muongoz alifanyaj3 sio kwamba mtoto hayupo kwenye dozi mkuu. Hapana anatumia ila ni Ile unajikuta unahangaika kufaham ufanyeje Ili tatizo lisijirudie huku akiwa kwenye tiba