Naombeni ushauri, mtoto wangu ana tapika na kuanguka

Naombeni ushauri, mtoto wangu ana tapika na kuanguka

Pole bro. Mpeleke hos kubwa hata ikiwezekana ya private achana na hizi hos za serikali ndugu yangu tafuta inayotumia kadi then umpeleke dogo huko. Au wasiliana na watu wa kwenu kama kuna madawa ya kienyeji umpeleke anywe atayatapika. Au tafuta kuku wa kienyeji mchanga asiwe jogoo aliyekomaa awe tu labda kafatiwa mara mbili yani wa kati sio kifaranga na sio alokomaa mchinje yaan kile kijogoo hakijaanza kuwika na kuanza tabia mbaya kinga damu yake make sure isigande you can put some chumvi kidogo then mchemshe huyo kuku bila kuweka chochote ndani awe ni kuku tu na maji ukipata hiyo supu mix with that damu umpe anywe na nyama kias after 5to6 days fanya hivyo tena kuna some changes utaona. Usichemshie jiko la gesi tumia la mkaa. Ningelikua karibu ningelikwambia tutumie mbuzi coz kuna baadh ya viungo vinafaa kwa ajili ya hilo zoezi. 2yrs kama ni hayo maji alikunywa kweli hiyo supu na damu inayeyusha. Msione masai wanakunywa damu mkawacheka bure they know whats in that blood.
Asante sana mkuu
 
Mimi ni baba mwenye familia ya mtoto mmoja, umri miaka miwili lakini mtoto huyu amekua apitia changamoto ya kutapika saa zingine analala zaidi ya masaa 4 hajaamka, na muda mwingine ananguka kifafa sio kifafa sijui ndiyo degedege mwenzenu hata sielewi.

Naombeni ushauri na tiba maana zahanati nimeenda napewa dawa za malaria. Kwa wenye familia na msiokua na familia naombeni ushauri wenu.
Pole sana kwa kuuguliwa. Ushauri utakaopata hapa sana sana ni kumpeleka hospital. Unasema kuwa umempeleka zahanati na kupewa dawa za malaria. Sidhani kama huu ugonjwa zahanati wanaweza kuushughulikia. Inaoneka ana tatizo linalohitaji dakta mtalaam, hasa wa mambo ya watoto. Na hata kama ukienda hospital moja asipopona rudi tena na zaidi jaribu kubadilisha hospital. Kutegemeana na mkoa ulipo, nenda hospital kubwa.
 
Pole mkuu, pia angalia lishe ya mtoto angalau awe na uzito sahihi kwa umri wake!
Kwa experience yangu ya umama watoto wenye uzito mdogo wakipatwa na ugonjwa homa huwa inakua kali sana kupelekea degedege tofauti na wengine
Nb. Mimi sio daktari hiyo ni observation yangu tu.
 
Matibabu Bora ni Yale yamayo fanywa pande zote mbili , hospital na kwa waganga njaa.
Huwez kujua labda karogwa huyo
 
Kutapika plus Kuanguka" ????😳😳😳 Embu peleka mtoto kwenye high facility RRH
 
Back
Top Bottom