Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
sasa nakwambia nenda hospital tena beba na hizo dawa anazotumia.Jamani sijatia uzembe nimekuja kuuliza kama Kuna yeyote amewahi kupitia hii situation anipe muongoz alifanyaj3 sio kwamba mtoto hayupo kwenye dozi mkuu. Hapana anatumia ila ni Ile unajikuta unahangaika kufaham ufanyeje Ili tatizo lisijirudie huku akiwa kwenye tiba