Nexltshahda
JF-Expert Member
- Jun 1, 2026
- 405
- 820
Haya mkuuPole sana mkuu ngoja waje
Halafu dogo akifa ataanza kumlilia God wakt yeye kafanya uzembeDuh
mkuu si umepeleke hospitali kubwa aonane na mtalaamu.
Mbona ni kama afya ya dogo unaichukulia simple sana.
Mkuu nilienda kituo Cha afya wao wakaniambia kwamba alikunywa maji wakati anazaliliwa, na dawa nilipewa lakini hii ya kujirudia Bado inanichanganyaDuh
mkuu si umepeleke hospitali kubwa aonane na mtalaamu.
Mbona ni kama afya ya dogo unaichukulia simple sana.
AiseeHalafu dogo akifa ataanza kumlilia God wakt yeye kafanya uzembe
mh!Mpeleke hospital siku hizi degedege inatibiwa vizuri tu.
Wasiliane na wazee huko kwenu wakupe dawa ya degedege
Nimekumabia chukua gari nenda uonane na professional.Mkuu nilienda kituo Cha afya wao wakaniambia kwamba alikunywa maji wakati anazaliliwa, na dawa nilipewa lakini hii ya kujirudia Bado inanichanganya
Sawa mkuu muda wa kulaumiana umeisha. Nenda leo hospitali mapema basi. Tunaomba.Mkuu nilienda kituo Cha afya wao wakaniambia kwamba alikunywa maji wakati anazaliliwa, na dawa nilipewa lakini hii ya kujirudia Bado inanichanganya
Jamani sijatia uzembe nimekuja kuuliza kama Kuna yeyote amewahi kupitia hii situation anipe muongoz alifanyaj3 sio kwamba mtoto hayupo kwenye dozi mkuu. Hapana anatumia ila ni Ile unajikuta unahangaika kufaham ufanyeje Ili tatizo lisijirudie huku akiwa kwenye tibaHalafu dogo akifa ataanza kumlilia God wakt yeye kafanya uzembe
AsantSawa mkuu muda wa kulaumiana umeisha. Nenda leo hospitali mapema basi. Tunaomba.
Saw mkuuTofautisha kati ya zahanati na hospitali