Naombeni ushauri, mtoto wangu ana tapika na kuanguka

sasa nakwambia nenda hospital tena beba na hizo dawa anazotumia.
 
Mkuu nilienda kituo Cha afya wao wakaniambia kwamba alikunywa maji wakati anazaliliwa, na dawa nilipewa lakini hii ya kujirudia Bado inanichanganya
Nenda hospitali kubwa tafuta daktari bingwa wa watoto. Usiionee huruma hela yako kwenye afya ya mwanao
 

Pole sana.

Mpeleke mwanao akaonwe na daktari kuanzia hospital za wilaya au kama utaweza mpeleke kwa daktari bingwa wa watoto ili akafanyiwe uchunguzi na vipimo zaidi.

Kila la kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…