Nenda hospital ya wilaya kuna madactar bingwa watakusaidia tuJamani sijatia uzembe nimekuja kuuliza kama Kuna yeyote amewahi kupitia hii situation anipe muongoz alifanyaj3 sio kwamba mtoto hayupo kwenye dozi mkuu. Hapana anatumia ila ni Ile unajikuta unahangaika kufaham ufanyeje Ili tatizo lisijirudie huku akiwa kwenye tiba
Aende kwanza hospital then alete feedbackKAbisaaaaa
Hapa ndipo watu wanapofanyaga watoto wao ulemavu
Mkuu, kwanini hospitali hautaki kuelewa? HUKO WAPI?Inatibiwa hospital au kienyeji mkuu, msaada wako mkuu
Siko hapa kutaja au kumfundisha ndio maana mwanzo nilimwambia aende hospital.usitaje kwanza mpaka jamaa aende hospital.
Hakika. Jamaa sijui kwanini hataki kwenda hospitali?Siko hapa kutaja au kumfundisha ndio maana mwanzo nilimwambia aende hospital.
Degedege husumbua sana hiyo njia nyingine nimeihusisha ikiwa linasumbua sana
Anhaa nimekuelewa dada naomba utulie hivyo hivyo mpka jamaa atoke hospital alete mrejesho.Siko hapa kutaja au kumfundisha ndio maana mwanzo nilimwambia aende hospital.
Degedege husumbua sana hiyo njia nyingine nimeihusisha ikiwa linasumbua sana
Anasahau mficha maradhi kifo humuumbua.Hakika. Jamaa sijui kwanini hataki kwenda hospitali?
Na usikute ana bima.Kuwa baba ni majukumu, mpeleke hospitali; tenga laki moja ya vipimo.
Atapona taratibu mkuu tatizo wewe unataka apone haraka, huyo ni mtoto na huo mwili sio mashine kwa hio mpe muda wa ku-recover, ukisema ulazimishe apone haraka inakua unakosea just be cool atakua sawa ila fuata ushauri wa wadau mpeleke hospital nyingine akachekiwe zaidi labda kuna tatizo lingine la kimatibabu utaligundua huko na kumpatia tiba ili aweze kupona kabisa tatizo lakeJamani sijatia uzembe nimekuja kuuliza kama Kuna yeyote amewahi kupitia hii situation anipe muongoz alifanyaj3 sio kwamba mtoto hayupo kwenye dozi mkuu. Hapana anatumia ila ni Ile unajikuta unahangaika kufaham ufanyeje Ili tatizo lisijirudie huku akiwa kwenye tiba
Unataka kuua mtoto..?maana zahanati nimeenda napewa dawa za malaria.
Kwa nini mhudumu wa zahanati asimwambie aende panapofaa lakini kaamua kumpa dawa za malaruTofautisha kati ya zahanati na hospitali
Mi namuelewa!!! Degedege isikie tu kwa jirani unaweza kupiga ukunga mtoto kafa.Hakika. Jamaa sijui kwanini hataki kwenda hospitali?
Zahanati PrivateKwa nini mhudumu wa zahanati asimwambie aende panapofaa lakini kaamua kumpa dawa za malaru
ia?
Yea kasema ni first born wake. Mungu ampe nguvuMi namuelewa!!! Degedege isikie tu kwa jirani unaweza kupiga ukunga mtoto kafa.
Tumueleweshe tu ataelewa labda ni baba mpya.
Anhaa nimekuelewa dada naomba utulie hivyo hivyo mpka jamaa atoke hospital alete mrejesho.