Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Kosa la kwanza ,,umechitiwa kosa la pili mimba,,,kakataliwa upande wa pili ndo mana kaja kwako ,,ushafanywa boya unaonekana unampenda sana huyo mwanamke hata tukikushauri hapa ukikutana naye ukilegezewa sauti unakuwa mdogo na mbususu utaomba,,,,,utajua mwenyewe [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Nina mtu nilikuwa naishi nae bila ndoa tulikutana tu nikajitambulisha kwao nikajulikana na kwetu akajulikana ila wazazi walikuwa hawajui kwamba tunaishi pamoja na malengo yetu ilikuwa kuoana.
Sasa tukawa tunaishi mwenzangu akaniwekekea password kwenye kila kona ya simu yake nikawa napata wasiwasi nilichoamua nilimtegea simu ikipigwa ajirekodi.
Baada siku kadhaa bahati nzuri nilikuta kaweka nyimbo kwenye audio player mimi nilichofanya nika-add zile record bila yeye kujua kwenye audio player nikasikiliza watu wote alokuwa anawasiliana naye nikagundua alikuwa ana mtu mwingine na alikuwa anafika kwake.
Basi tuligombana sana mpaka kufikia hatua yakutengana baada ya wiki mbili yule mwanamke alinambia ana ujauzito wangu ila baada yakumbana sana mana tulikuwa wawili akanambia hajui baba wa mtoto ni nani kati ya mimi na huyo mchepuko na yeye hana uwezo wakulea hiyo mimba sababu hata mchepuko wake kaikataa sasa.
Ushauri wenu nitafanyaje mana kweli nampenda sana huyo mwanamke ila ndio hivo nahofia pia mimba hiyo isiwe ya kwangu ushauri wenu jamani.
Ameomba ushauri si ndo huo mmojawapo.Makosa ya wengine ayabebe yeye?
Sitaki mkuu.
Big NO, Every soul got to liveMwambie akaflash, asimlete mtoto akateseka na uchumi wenyewe Huu, mama mpumbavu Bora abaki mgumba๐
Jibu ni hana akili.Ukinijibu hili swali ndo nitakushauri vizuri!
Wewe una akili sawasawa???
Msaidie kulea la sivyo anaweza kutoa mimba.Nina mtu nilikuwa naishi nae bila ndoa tulikutana tu nikajitambulisha kwao nikajulikana na kwetu akajulikana ila wazazi walikuwa hawajui kwamba tunaishi pamoja na malengo yetu ilikuwa kuoana.
Sasa tukawa tunaishi mwenzangu akaniwekekea password kwenye kila kona ya simu yake nikawa napata wasiwasi nilichoamua nilimtegea simu ikipigwa ajirekodi.
Baada siku kadhaa bahati nzuri nilikuta kaweka nyimbo kwenye audio player mimi nilichofanya nika-add zile record bila yeye kujua kwenye audio player nikasikiliza watu wote alokuwa anawasiliana naye nikagundua alikuwa ana mtu mwingine na alikuwa anafika kwake.
Basi tuligombana sana mpaka kufikia hatua yakutengana baada ya wiki mbili yule mwanamke alinambia ana ujauzito wangu ila baada yakumbana sana mana tulikuwa wawili akanambia hajui baba wa mtoto ni nani kati ya mimi na huyo mchepuko na yeye hana uwezo wakulea hiyo mimba sababu hata mchepuko wake kaikataa sasa.
Ushauri wenu nitafanyaje mana kweli nampenda sana huyo mwanamke ila ndio hivo nahofia pia mimba hiyo isiwe ya kwangu ushauri wenu jamani.
Kama alikuwa anagawa kwa watu wawili simultaneously siyo rahisi kujua mimba ya nani. Maana kuna mademu wengine usiku anatoa kwa jamaaa no. 1 asubuhi kwa jamaa no. 2 mchana kwa mwingineObviously wewe ni mwanamke!
Unadhani huyo mwenzio technically hajui ujauzito ni wa nani?ni unafiki tu kutia tia huruma aonekane hajafanya kwa ubaya ili ammbebeshe zigo huyu pimbi maana anaonekana ana future kidogo.
Na akishai-flush unashauri huyu jamaa amuowe au?
Mwambie akaflash, asimlete mtoto akateseka na uchumi wenyewe Huu, mama mpumbavu Bora abaki mgumba๐