Naombeni ushauri, mwanamke wangu ana ujauzito lakini hajui baba wa mtoto ni nani

Na wewe ni kenge tu sema umekosa mkia

Muambie akaitoe au akiamua azae at her own risky

Let her do her homework and your own man
 
[emoji4]
images-984.jpg
 
Nina mtu nilikuwa naishi nae bila ndoa tulikutana tu nikajitambulisha kwao nikajulikana na kwetu akajulikana ila wazazi walikuwa hawajui kwamba tunaishi pamoja na malengo yetu ilikuwa kuoana.

Sasa tukawa tunaishi mwenzangu akaniwekekea password kwenye kila kona ya simu yake nikawa napata wasiwasi nilichoamua nilimtegea simu ikipigwa ajirekodi.

Baada siku kadhaa bahati nzuri nilikuta kaweka nyimbo kwenye audio player mimi nilichofanya nika-add zile record bila yeye kujua kwenye audio player nikasikiliza watu wote alokuwa anawasiliana naye nikagundua alikuwa ana mtu mwingine na alikuwa anafika kwake.

Basi tuligombana sana mpaka kufikia hatua yakutengana baada ya wiki mbili yule mwanamke alinambia ana ujauzito wangu ila baada yakumbana sana mana tulikuwa wawili akanambia hajui baba wa mtoto ni nani kati ya mimi na huyo mchepuko na yeye hana uwezo wakulea hiyo mimba sababu hata mchepuko wake kaikataa sasa.

Ushauri wenu nitafanyaje mana kweli nampenda sana huyo mwanamke ila ndio hivo nahofia pia mimba hiyo isiwe ya kwangu ushauri wenu jamani.
Sema mwanamke wetu. Duu kuna watu mnajua kupenda kindezi kweli
 
Uzi bila picha ni uzushi mtupu[emoji41][emoji41]
 
Nina mtu nilikuwa naishi nae bila ndoa tulikutana tu nikajitambulisha kwao nikajulikana na kwetu akajulikana ila wazazi walikuwa hawajui kwamba tunaishi pamoja na malengo yetu ilikuwa kuoana.

Sasa tukawa tunaishi mwenzangu akaniwekekea password kwenye kila kona ya simu yake nikawa napata wasiwasi nilichoamua nilimtegea simu ikipigwa ajirekodi.

Baada siku kadhaa bahati nzuri nilikuta kaweka nyimbo kwenye audio player mimi nilichofanya nika-add zile record bila yeye kujua kwenye audio player nikasikiliza watu wote alokuwa anawasiliana naye nikagundua alikuwa ana mtu mwingine na alikuwa anafika kwake.

Basi tuligombana sana mpaka kufikia hatua yakutengana baada ya wiki mbili yule mwanamke alinambia ana ujauzito wangu ila baada yakumbana sana mana tulikuwa wawili akanambia hajui baba wa mtoto ni nani kati ya mimi na huyo mchepuko na yeye hana uwezo wakulea hiyo mimba sababu hata mchepuko wake kaikataa sasa.

Ushauri wenu nitafanyaje mana kweli nampenda sana huyo mwanamke ila ndio hivo nahofia pia mimba hiyo isiwe ya kwangu ushauri wenu jamani.
kuna watu hawa stahili kuishi tanzania kabisa ungetakiwa uwe ukraine huko unapambana na vita.
 
Mkuu kataaaa katakata tena kaza jicho hakuna kulea miuno ya wenzio mtoto akizaliwa pima ila arudi kwaooo
 
Huyo ni malaya,mzinzi na muasherati. Hatobadilia ni tabia.

Fukuza kama mwizi
 
Back
Top Bottom