Naombeni ushauri, mwanamke wangu ana ujauzito lakini hajui baba wa mtoto ni nani

Kati ya wewe na huyo mwanaume mwingine, mchepuko ni nani?
 
Aisee Kuna wanaume uchwara jamani!! Sasa hili nalo unaomba ushauri wa Nini?? Khaaaa shame on you!!!
 
Bado unampenda sana mkeo!!
Ngoja kwanza nimalizie kusoma koments!!
 
Washirikishe watu wazima wakupe yenye Busara maana mimi kwa akili zangu ningepiga chini huyo manzi saa hiyo sentensi yasijui mimba ni yanani imewekwa nukta.
 
Nashauri kwamba tulia kama unampenda naye annataka kubadilika, kwa kuwa hata wewe hukuwa mume wake. Kwa sababu jadilieneni kwa upana wake. Huenda ukamtaa kumbe ni mtoto wako, na kama itatoke si mtoto wako, mtapata ufumbuzi kwa wewe kumuasili huyo mtoto au kumrudisha kwa huyo aliyempa mimba. Tulia nna tafakari juu ya uamuzi wako. Usikurupuke baadaye uakijlaumu.
 
Ungekuwa unampenda hivyo ungemuia kuliko kumtumia kukata haja zako za ngono.
 
mi nakuona kama huna akili achana na huyo mwanamke subiri mtoto azaliwe upime DNA
 
One man down
 
Seriously?? na heading unaweka mwanamke wangu???
 
Ukinijibu hili swali ndo nitakushauri vizuri!

Wewe una akili sawasawa???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila wee jamaa umejua kufunga huu uzi mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…