Naombeni ushauri: Nataka kumzuia mama yangu asiolewe tena baada ya baba kufariki

Usiongee chochote na maza, ....
kifate hicho kizee kichimbe biti ukiambie kabisa hakitaweza kutia mguu hapo na siku ukikiona na maza utakata chululuu
 
Hata Mimi nisingekubali iyo nyumba imebeba memories nyingi za familia yenu ivyo ibaki kama kumbukumbu ya familia

Home kwenu ukikaa tu seblen mtu huvuta matukio yakifamilia ukiw seblen utais mzee wako yupo chumban au utais saut yake flan kwambal ivyo siyo sawa nyumba ikawa na mtu mwengne ..

Kwanza uyo mzee anaeoa nimzee wa hovyo Sana utaoaje mbibi mbaya Zaid unataka kuamia kwa mbibi mweny watoto wakubwa ? Je watoto wakiamua kurudi wote nyumban kipindi flan utakua na sauti gan Kama baba mwenye nyumba ?

Pia bi mkubwa nae kazingua kwa umbriuo
Alitakiwa akaishi kwa mmoja ya watoto wake alee wajukuu .. cjui atakuw kabila gan ila angekuw uku kwetu angechekwa Kijiji kizima na asinge subutu ..

Anyway kuolewa acha aolewe ila usikubali aishi na uyo mzee apo home that's ur Daddy's empire.. kumpa mtu mwengne nikuto kumueshim mzee wako.. becz ndugu wa babayako I mean maShangazi bamdogo hawato kanyaga Tena kwenu wakickia mother wako anaish na njemba nyingine apo home ..

Ni busara tu ndo inaitajika .. HEKIMA..
 
Kwani malapa ndio yanaoa yanaoa...aChA dharau Kwa baba Yako...we unajua mama yako nlkanogewa na Nini!😆jokes
Ila hili jambo ni gumu sana kwa watoto...kina jaamaa alimpa zawadi mama yake ...Kwa kutoolewa baada ya baba kufariki
 
Kijana upo sahihi uko kuingiza mikosi kwenye familia yaani miaka 68 amebakiza nini kwenye ndoa.da maajabu umri ni mkubwa atulie tu .
 
Huyo ni bibi...mwambie atulie tena uwe mkali..miezi 8 michache sana..nenda kwa huyo mzee pia mpige mkwara wa maana
 
Iyo miaka 68 kwa mwanamke mingi hawezi fika hatakileleni

Mzee anapenda slope asije kuleta utapeli hapo
 
Huyu atakuwa kazoea vumbi la Congo ndio shida inapoanzia ........labda kazee kametoa fomesheni ya mkongo na viks unadhani MTU mzima anagomaje Kwa mfano
 
Usiongee chochote na maza, ....
kifate hicho kizee kichimbe biti ukiambie kabisa hakitaweza kutia mguu hapo na siku ukikiona na maza utakata chululuu
Nashukuru hofu yangu mama atachukia na kuhisi namdharau ndio maana nafikiria nimuhamishie mbali nakoishi.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Ni nchi ina mambo??..

Mama mjane wa 68yrs old naye anataka kuolewa.
 
Mwache aolewe

Hakuna mtu anayependa kuwa mpweke

Kuna mengine wewe au ndugu zako hamuwezi kumsitiri ila mume
 
Kwa miezi 8 mama yenu katisha.

Muwe sirias kabisa kama anaolewa tena aondoke hapo kwenu.

Baadae wansumbuaga sana hao wazee wanasema nyumba ni yao wakati ameikuta.
Tena mama akitangulia kabla yake ataomba mgao pasu na hata wakiachana atasema ni mke wangu nataka mgao wangu.[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…