Naombeni ushauri: Nataka kumzuia mama yangu asiolewe tena baada ya baba kufariki

Kwani uislamu unapenda ufukara??
 
Kwani uislamu unapenda ufukara??
Sijajua point yako ipi igogondwa

lengo la ile paragraph ya kwanza
ni kumuelewesha kwa sisi waislam tuna uwezo wa kuwaendo hata kwa wazazi wetu
kwa hekima na busara hata kwa jambo hilo la NDOA

So huyo bwana kama angetaka kuoa mama angefata taratibu zote ambapo walii lazima akubari kumuozesha ikiwa haitaridhiaa kukiwa na mapungufu NDOA haitafungwa
hapo mwenye ruhusa ya kumuozesha huyo mama katik uislam ni BABAAKE BABU YAKE MJOMBA AKE KAKAA AKE na MTOTO WAKE WA KIUME ikikosekana hao Basi KADHI(shekhe wa eneo husika mwenye ELIMU KUBWA na HEKIMA) atamuodhesha

hvyo itakapoletwa BARUA ya posa hao niliowataja watampa MAWAIDHA ambapo ataelezwa FAIDA na HASARA mwisho wa siku MAMA ataamua kilicho bora
ambacho naamimi kitakuwa kizuri

Huo ndio UISLAM una HEKIMA nyingi katika kurejea HADITHI za zilizothimuliwa na maulamaa waliopita na pamoja na AYA katika QURAN
ambapo mwisho wa siku MAMA angepata mawazo CHANYA yenye manufaa kwa AFYA yake na Familia yake
 
Ni kweli shida yangu kubwa ni heshima ya baba yetu. Naona sio sahihi kuja kuishi pale

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mkunyunyu noma.
Ila kawaida tu, take easy mwache aolewe huyo mzee hatakutegemea kila kitu. Aliweza kuishi kabla hajaja kwenu ataweza kuishi pia bila support yako hata baada ya kuja kwenu.
 
Umetoa ushauri wenye hekima, kama akiolewa ahamie kwa huyo mzee asiishi nyumba aliyokuwa akiishi na mzee wao (mme wake)
 
Miez 8 hapana jmn hivyo ameshazoea kumkosa mwenzie kama angekuwa mama angu ningemzuia
 
Umeongea mengi lakini hapo nilipobold pazingatie sana, kwani huna nafasi ya kumpangia mzee wako vipi Aishi. Vile vile kama mzee (baba) alifariki basi mama yako anao uwezo wa kuja kuishi na huyo mwanaume atakaemuoa kwenye boma lenu kwani hapo mama yako pia ni kwake labda kama apende kuondoka kwake.
 
Kama ameamua kuolewa aondoke zake asikae hapo nyumbani na huyo Mzee mwenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…