Naombeni ushauri: Nataka kumzuia mama yangu asiolewe tena baada ya baba kufariki

Ningekuwa mimi ningeamua kama wewe unavyotaka kuamua. Watafute nyumba nyingine wakaishi yeye na mume wake. Vinginevyo mzee achakarike kutafuta mahitaji ya familia yake.
 
Legendaries tunasema mama na huyo mzee baba yako wa kufikia hawakuanza leo wala jana hao wanajuana muda mrefu kinachotaka kufanyika ni kuhalalisha uhusiano wao.

Miaka 68 mtu anapata mahitaji yote huyo mume anamtaka wa nini?hawa walikuwa wote muda mrefu mkuu nisamehe nikikukwaza.
 
Awe baba yangu au asiwe, nafukuzia mbali. Hatutaki wanamiserereko.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Senior marioo 😂😂🙌
 
Hahah

Kuna familia tJiri waarabu bongo hapa(jina kapuni)mama yao alikuwa mbongo
Kuna wakati mama yao aliwambia watoto wake ana mzee mtu wake wanataka kufanya yao
Ah wale watoto walimtuliza yule mzee kimjinimjini,mzee alikimbiliaa mbali huko😂

Ova
 
We pumbavu ukome! Utalaanika kuwaza tu kuandika hivi ushalaanika 20% acha kabisa ujinga! Mwache aolewe kisheria aakishaolewa anachapa lapa! Afu mbona unaa wivi mbaya sana we mtoto dah....
 
Sio sahihi hasa kama mama anaishi peke yake.Kwa umri wake anahitaji kampani kama ya wajukuu n.k.Uamuzi wa kumleta mjini ni mzuri ila hakikisha anaridhia yeye.Yote ni yote sioni shida Nyinyi kupata BABA mpya.Labda ulikuwa MCHEPUKO wake wa MUDA mrefu.SIku ingine acha kumfedhehesha mama yako mitandaoni.Kwani akitaka kuoa au kuolewa shida yako ni nini?
 
We pumbavu ukome! Utalaanika kuwaza tu kuandika hivi ushalaanika 20% acha kabisa ujinga! Mwache aolewe kisheria aakishaolewa anachapa lapa! Afu mbona unaa wivi mbaya sana we mtoto dah....
Umalaya tu hakuna kingine

Sex imewekwa for reproduction purpose but mmeifanya kuwa starehe
Huyo mzee anaolewa kutafuta Nini?




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akija mjini akikutana na vijana mamarioo ambao wanajifanyaga hawaangaLii umri wao wanatongoza tu itakuaje kaka mkubwa...? mwache tuu ata huku mjini pia anaweza kukutana na wababu tena wakapendana mawache tuu
 
Daaah yaani huyo mama alikuwa anataka am rest ishe mumewe akishirikiana na danga lake la kibongo?

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Upuuzi tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu namuona kama umri umesogea mno si wakuhangaika na mambo ya ndoa.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Huo umri bado wazee wanaokula vizuri wanazo hisia kali tu za mapenzi angalau hata mara moja au mbili kwa mwezi. Tafuta namna ya kumsapoti mama apate kitulizo. Ila ni muhimu akaenda kuishi kwa huyo mume mpya
 
Aje ili iweje? Hajakatazwa kuoa, aoe ila ampeleke kwake. Hatutaki wazee miserereko hapa.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app

hayo ni mawazo ya kimasikini

halafu hii story hata haijabalance,huo mzee naye tungesoma uzi wake ndio tungejua kama huyu bwana anayeona wivu mama yake kuolewa yuko sahihi au la ila nina hakika huyu mzee siyo hohehahe kiasi cha kuja hapo kusaka ganda la ndizi
 
Huo umri bado wazee wanaokula vizuri wanazo hisia kali tu za mapenzi angalau hata mara moja au mbili kwa mwezi. Tafuta namna ya kumsapoti mama apate kitulizo. Ila ni muhimu akaenda kuishi kwa huyo mume mpya
Angekua Ni mtu wa imani
Asingepata huo muda wa kufikiria kuolewa

Kwa huo umri kwanini asianze kujitayarishia mazingira mazuri ya huko aendako?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…